Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,628
nimekutana na hii news mtaa wa pili huko huyu bwana amefumaniwa na mke wa mtu.
katika yote nimemshangaa sana huyu mama kujiachia na mtu ambae hata kununua underwear au chupi ni shida!hebu chekini hilo galulo sijui kashonea wapi sijui ni mtumba wa nchi gani hata!
hivi mwanamke unamuacha mumeo unatembea na mtu kama huyu hata mwenyewe hajiwezi kwa kachupi tu atakusaidia nini sasa..si bora ukitulize tu huko ndani?...mwanaume yupo raafu mgest mcafu kama nini mchekini huyo mmama mtaulo amevaa mchafuu....yaani unaondoka na maradhi ya ndani na nje...kweli uzinzi hauna faida mjue....