wanaume kwani boxer sh ngapi? mnatia aibu

wanaume kwani boxer sh ngapi? mnatia aibu

aaah na we uliyepost hii news unaingilia mambo ya watu kwani kuvaa au kutokuvaa boksa kuna shida gani?mbona wamasai hawavai kabisa na wanapigana mzigo mwanzo mwisho ila kilichonifurahisha hapo ni hiyo ndom da jamaa alikuwa anajali.
 
Aziniye na mwanamke hana akili kabisa, anafanya jambo litakalomwangamiza yeye n nafsi yake
 
Pengine director alikuwa ana act zile picha zingine lol. Chezea kuonekana kideoni
 
haaa! Kumbe knachokuudhi ni kutembea na mtu asiye nadhif/handsome na siyo kitendo cha kuisart ndoa yake?! Kwahyo ww akija mwanaume mzur na pesa zake upo tayar kuisalti ndoa yako?! Kaz kwel kweli!! Kumbe tofaut majina tu ila tunafanana

Si ndio maana jamaa alishtuka akaoa mwingine, kipindi chote hicho jamaa alikuwa anatupia Mayonaise tu siku ziende kumbe wa ndoa mwingine.
 
Em acheni kuponda sana, chupi mngemuona Chris brown kavaa kapiga nayo picha hapo jamaa angeonekana mjanja, mnajua hata bei ya hiyo aina ya chupi au mnapiga kelele, au kisa ni raia moja ya kibongo imevaa bac inaonekana ovyo, au kwa kua mpauko? hiyo camera unaiamini vizuri ilivyojaa noise hivo.. mpotezeeni raia, toka muone beckham kavaa boxer fashion sasa imeonekana ndio hiyo, je nyie madada mnavaa nini? bikini kututembelea uchi au? Hamna hata uhakika ka jamaa ina mishe nyingine hapo

Na hiyo raia nayo haijisomi, haha na mwili wote huo kumbe ni wa kutishia amani tu ila raia mbili tu zimempelekesha vilivyo, hapo wakutane na master imesomea Kung-fu patachimbika kudadeki, hiyo kamera harudi nayo mtu. Kama huyo ni wife wa mtu msela kakosea ila yeye kulala na mwanamke isiwe tija bna ati kisa director, kwani humu jamvini nani hafanyi ngono? tofauti na mimi ambaye ni mwaminifu nasubiri ndoa. ingekua kila ukienda kulala na msichana mnapigwa picha afu unapakwa mambo hivo ungejisikiaje? ka yeye njia yake ni kupitia u-director, wewe unapitia kuvaa vizuri, mwingine hela, wote ni njia zako tu msimzingue mshkaji
 
dekio sio dekio yaani...ptuuu...hadi nasikia harufu

Acha hizo...na dekio langu, subsequently mnaingia dukani na kufanya manunuzi ya hizo mnazopenda ninyi??

nn kinakuwa kimetokea?...punguza kashfa mama...


 
Em acheni kuponda sana, chupi mngemuona Chris brown kavaa kapiga nayo picha hapo jamaa angeonekana mjanja, mnajua hata bei ya hiyo aina ya chupi au mnapiga kelele, au kisa ni raia moja ya kibongo imevaa bac inaonekana ovyo, au kwa kua mpauko? hiyo camera unaiamini vizuri ilivyojaa noise hivo.. mpotezeeni raia, toka muone beckham kavaa boxer fashion sasa imeonekana ndio hiyo, je nyie madada mnavaa nini? bikini kututembelea uchi au? Hamna hata uhakika ka jamaa ina mishe nyingine hapo

Na hiyo raia nayo haijisomi, haha na mwili wote huo kumbe ni wa kutishia amani tu ila raia mbili tu zimempelekesha vilivyo, hapo wakutane na master imesomea Kung-fu patachimbika kudadeki, hiyo kamera harudi nayo mtu. Kama huyo ni wife wa mtu msela kakosea ila yeye kulala na mwanamke isiwe tija bna ati kisa director, kwani humu jamvini nani hafanyi ngono? tofauti na mimi ambaye ni mwaminifu nasubiri ndoa. ingekua kila ukienda kulala na msichana mnapigwa picha afu unapakwa mambo hivo ungejisikiaje? ka yeye njia yake ni kupitia u-director, wewe unapitia kuvaa vizuri, mwingine hela, wote ni njia zako tu msimzingue mshkaji


Kamanda, nimeku-like kinomaa, isipokuwa nikuambie kitu...kwenye fumanizi kaka...hata uwe umemaliza mikanda yote ya kungfu...unapoteza nguvu ghafla...watu wanaweza hata chezea makalio...acha...
 
Wanaume bwana tuna bad looking tunapokuwa watupu hasa hawa wenye vitambi!

Najiuliza mbona aliyefumania anaonekana gangster...inakuwaje mama anaenda kutoa kwa mwenye kitambi..?...wanawake bana...haya mambo hayana kanuni...!!!...duh

Kwa hayo marasta...unaamini... jamaa atakuwa anasukuma mashine mpaka anatukana au anaombwa atukanie....
 
Back
Top Bottom