wanaume kwani boxer sh ngapi? mnatia aibu

wanaume kwani boxer sh ngapi? mnatia aibu

nimekutana na hii news mtaa wa pili huko huyu bwana amefumaniwa na mke wa mtu.
katika yote nimemshangaa sana huyu mama kujiachia na mtu ambae hata kununua underwear au chupi ni shida!hebu chekini hilo galulo sijui kashonea wapi sijui ni mtumba wa nchi gani hata!hivi mwanamke unamuacha mumeo unatembea na mtu kama huyu hata mwenyewe hajiwezi kwa kachupi tu atakusaidia nini sasa..si bora ukitulize tu huko ndani?...mwanaume yupo raafu mgest mcafu kama nini mchekini huyo mmama mtaulo amevaa mchafuu....yaani unaondoka na maradhi ya ndani na nje...kweli uzinzi hauna faida mjue....

Kweli nimeamini kichaa akikuibia nguo wakatiunaoga, ukaamuawa kumkimbiza ni kazi sana kutambuwa kichaa ni yupi!
poleni nyote kwenye picha hizi.
 
bora boxer nyie.mnavyonuka nywele na hizo papuchi ptuuuuuu
 
Daaah,
Hapa kama vile kila kitu hakieleweki vizuri,
Hiki chumba nacho mmmmh.

Ila nguo za ndani siyo mbaya saaaana;
na mara nyingi wanaume wenye pesa
siyo wote wanaojipenda sana.
 
teh,mwanaume mzur akiwa na trouser,akishavua tu mmh mnatisha
 
Kufumaniwa kubaya rasta anamtoa nishai mbavu nene.

Nimeipenda chupi ya huyo binti anaonekana msafi.

Rasta kapata pigo sana.

Haha hizo chupi safi huvaliwa spesho for occasion...km hapo..mshtukize ktk ya siku zingine utakimbiia
 
Smile kwani bi dada alienda kukagua gagulo? Zamani kabla hawajaja wazungu haya mambo ya vyupi hayakuwepo kabisa...ni kipande cha ngozi kwishney!
 
boxer ya nini hizo ni sehemu nyeti zinahitaji hewa ya kutosha boxer inabana sana
 
Its a shame and 1/2,bogus & dirty Director:disapointed:
 
hivi kufumaniwa siku hizi ni sehemu ya zile wanaita reality shows eh??
 
Waone watu wakipita barabarani ujue ndani ya nguo yamefichwa mengi. Inawezekana hata siyo kwamba ameshindwa kununua chupi bali issue ni kupata muda wa kwenda dukani kununua hiyo chupi. Biblia inawaita "WAZINZI NI MBWA" kwa hiyo usiulize uchafu kwa mbwa mla vibudu!!!
 
dekio sio dekio yaani...ptuuu...hadi nasikia harufu

kuna yule msanii mwingine sijui wa komedi EATV, yule ndio alinimaliza kabisaaaaa na yale mapicha yake, yaani nilivyoziona nikajiuliza hawa wadada ni nini wanakitafuta kwa huyu mtu, boxer moja kaivaa sijui karibia picha zake zote, mchafuuu mwenyewe.
 
Huyu director naye kashindwa kujipanga unafumaniwaje kirahisi rahisi hivi chupi nalo limelegea mno halafu sijui gest ya buku mbili kila kitu kiko ovyo,ukiwa mtu mshenzi uwe unajipanga ka vipi unaacha tu no wonder yamekukuta!jipange director chukua time!
 
Back
Top Bottom