mtavaa kwa lazima...mchupi umepauka kama nini haujulikani ni material gani..brand sijui ya wapi? Ovyooo!
Acha kuponda sana wewee, huyo ni mmoja tu kati ya wanaume wengi waliopo hapa duniani na si wote wanaovaa chupi za aina hiyo na isitoshe huyo mdada mwenyewe yupo comfortable na chupi ya huyo jamaa. Pilipili ya shamba sijui inakuwashia nini? Hivi unajua wanaume wanavumilia vitu vingapi vya ovyo ovyo, vibaya na vichafu kutoka kwenye miili yenu wanawake au unajifanya hujui? aaaagh!.......am sorry, watu wasije kutapika bure hapa muda huu.