pirates lil
JF-Expert Member
- Jun 14, 2016
- 958
- 915
Bora ata umewachamba [emoji122] [emoji122] napita tu[emoji126] [emoji108]
Hivi inaingia akilini kabisa Janamume zima tena limekomaa kabisa asubuhi anagombana na Mkewe kuwa kwanini hajamchemshia maji ya Kuoga.
Hivi kwa baridi au kipupwe hiki cha Dar es Salaam ni cha kumfanya kabisa Mwanaume mzima na urijali wake kuoga maji ya moto?
Nyie Wanaume mbona " mmelegea " hivi? Kinachoniuma kabisa kuna " njemba " moja nimekutana nayo mahala inampiga Mtu " mkwara " kuwa yeye ni ngangari na mtoto wa mjini wakati kabla ya hapo nilimsikia akimuwakia Mkewe katika Simu kuwa kwanini leo kamwekea maji ya baridi bafuni.
Nilikuwa nadhani Watu wanatania tu kuwa baadhi ya wanaume ni " sleki sleki " na " maboflo " nikawa nakataa na hata kuwatetea ila kwa aina hii ya " ulegevu " na kung'ang'ania kuoga maji ya moto kwa kisingizio cha baridi kali ya Dar sasa nakubali kuwa mnastahili " kuchapiwa " wenza wenu na Wakomavu Special wa Mikoani ambao wao iwe baridi ya aina yoyote ile maji watakayooga ni ya baridi tu.
Mijanamume mizima " hovyo! ". Badilikeni......
Supposed to go that way!
Man is the head of house
Kufanya kazi kwake lkn akirudi home kazi zake zipo pale pale,ni jukumu lake kuongea na house girl kupanga iweje LKN chakula changu usiku mezani ni marufuku kupika house girl
Hii hata mke anaijua!Dinner lazima apike mke wangu!Chakula cha weekends hasa lunch lzm apike mke wangu!Na sihitaji chakula cha kuweka kwenye friji eti napasha kwa micro wave
Kwani wewe ni me au ke ?, tuanzie hapo
Kwani sisi samaki sato hadi tuoge maji baridi?Hivi inaingia akilini kabisa Janamume zima tena limekomaa kabisa asubuhi anagombana na Mkewe kuwa kwanini hajamchemshia maji ya Kuoga.