GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,602
- 127,976
- Thread starter
- #21
Ukitoka kufanya mazoezi unashauriwa kuoga kwa maji ya vuguvugu hadi moto kiasi. #healthTips
Samahani Mkuu hebu tufafanulie kidogo hayo mazoezi au hilo zoezi ambalo ukilimaliza kulifanya unatakiwa uoge maji ya vuguvugu au ya moto kiasi ni yapi / lipi? Jibu lako limenifanya niogope kidogo Mkuu. Eti enyi Wanaume wa Dar kuna Zoezi lolote ambalo mkipewa baada ya hapo mnashauriwa kuoga maji ya vuguvugu au ya moto kiasi? Mama yangu.....!