miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,803
- 49,109
Kuwa na kipato inaweza kuwa chanzo cha matatizo katika ndoa. Mwanaume ukiwa na kipato kikubwa unakuwa na kazi kubwa sana ya kukwepa mitego ya mabinti! Inahitaji uvumilivu na uaminifu wa hali ya juu (kwa msaada wa Mungu!) kuweza kukwepa vishawishi vyote hivyo! Inafanana sana na mwanamke akiwa mrembo/mzuri wa kupindukia, vishawishi pia vinakuwa vingi! Kama mtu ana 'mi-tamaa' iliyopindukia anaweza kujikuta kila wiki anabadili wanawake pamoja na kuwa yupo kwenye ndoa! Wanawake wana mbinu na mitego mibaya sana....wanaume wengi inawawia vigumu kuchomoka.
Lakini pamoja na yote hayo, bado hayamuondolei mwanaume wajibu wake katika kulinda kiapo cha ndoa yake.
unajua mnajifunga wenyewe kwamba amuwezi kujizuia naona si jambo la busara kufanya hivyo ni bora kuwa na msimamo kwani ninyi amuoni aibu kidudu chako kuonekana na kila mwanamke?