Ukitaka kushindana na ukuta, utashindwa tu.
Huo ndio ukweli ingawa hizi dini na the so called usawa unachangia ku-stigmatize hili la mwanaume mmoja wanawake wengi. But whether you accept it or not, that is the way men are built. Unaweza ukadhani mimi ndio muhuni namba moja hapa nchini, on the contrary, I have always been in a monogamous relationships all my life, lakini ukweli naujua.
Mwanaume kukaa na mwanamke mmoja milele ni kazi ngumu sana. Ndio maana nikasema, women should do more. Jifunzeni kusema, "No I can not share a man with someone else". Kwa sababu kuna cases nyingi sana za wanawake kudate watu huku wakijua fika kwamba wako involved somewhere.
Wakati niko chuo jamaa yangu alikuwa na girlfriend lakini alikuwa mbali kidogo. Basi akaamua kuwa na kidumu mjini hapa, akamtafuta binti mmoja akampa sound, yule binti akamkataa. Jamaa akaona isiwe tabu, akampotezea. After a month or so, girlfriend wake alikuja chuoni kumuona jamaa, the guy akatafuta lodge akaenda kukaa huko wiki nzima. The other girl wa pale chuo, akasikia the guy yupo somewhere na girlfriend wake. Kwanza she was shocked, lakini baadae akatulia.
After a week jamaa alivyorudi, yule binti akamtafuta jamaa akamuuliza vipi nilisikia hivi na hivi, jamaa akamwambia ni kweli, I was with my girlfriend all this time. Maajabu yule binti akamwambia but I also love you. Jamaa akamwambia si unajua nina girlfriend. Binti akajibu, am okay being number two, and I wont even interfere with you main relationship. Ndio uhusiano wao ukaanzia hapo. The main woman akija, binti inabidi aweke pause mpaka aondoke and that went on for 3 college years.
In this case, mwanaume amefuata urges zake kumtongoza yule msichana..... lakini msichana baada ya kujua kwamba the guy is involved somewhere why did she say no. Kila mtu ana kosa hapa, lakini mwisho wa siku ni "wanaume wanaume wahuni". Nafasi ya mwanamke katika hili iko wapi??