Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,319
- 3,435
ahsante... kwa hiyo una maoni gani kwa wana JF kiujumla juu ya excel?
abadilike aache ubazazi,ubazazi sio dili.
ahsante... kwa hiyo una maoni gani kwa wana JF kiujumla juu ya excel?
abadilike aache ubazazi,ubazazi sio dili.
we unapenda kuchumu mpaka ulimi ugusane ndo maana nikakukatazaWewe Excel unalako jambo! Khaa! Eti Mndengereko, sema kama katiba yetu hairuhusu kukisiana!
Hahahahahahaaaa!
Kuchumu imekuwa tabia mbaya?
Kama haujui, kuchumu ni ishara ya upendo! Na tim yetu inatutaka tupendane! lol!
naogopa kujijaribu wanaweza hata kubakaAibu itoke wapi, si na yeye anaona "vishimo" vingi pia. Kwa kila anayeona "kidudu" chake, nayeye ameonwa "kishimo" chake.
Kimsingi, sijasema hatuwezi au haiwezekani kujizuia, nimesema ni vigumu. Kama wewe ni KE (na bado "unalipa"), jaribu "kujilengesha" kwa wanaume waliooa kumi (10) halafu uje hapa utuambie ni wangapi wamekukataa.
mimi bwana sijdhani kama huyo dada katoa kauli hiyo from no where kuna factor behind ya yeye kusema hivyo...... sasa mwanume ukijiheshimu hata mkeo atakuheshimu sana tu .... alafu kunyanyasika ni mtu kuamiua tu kwa mimi ukininyanyasa nadhani ndo utazidi kunipenda kwa sababu bnitakavyo kutreat badly hutaaminimkuu kama mwanamke anaheshima nyumban, anakupokea vzr, lugha nzur na anazingatia usafi hv mwanaume ataanzaje kutoka nje?? Chanzo ni mwanamke mwenyewe utakuta jamaa anatoka kwenye utafutaji lakin mama nyumban kaz yake kupiga umbea na rafki zake, ukijaribu kumuuliza kitu majibu hayo utataman ujitie kitanz, kuna dada mmoja alimtolea mme wake kauli kama hii" wewe hunitishi kwa lolote hata huyu mtoto nmezaa na ww kwa bahati mbaya tu. Na hutaona nikishika mimba yako tena" hebu kwa kauli kama hyo unafikir mwanaume atakuwa na muda gan mchafu na ww?? Hapo hata ningekuwa mm ntakunyanyasa mpaka dunia ishangae
mimi bwana sijdhani kama huyo dada katoa kauli hiyo from no where kuna factor behind ya yeye kusema hivyo...... sasa mwanume ukijiheshimu hata mkeo atakuheshimu sana tu .... alafu kunyanyasika ni mtu kuamiua tu kwa mimi ukininyanyasa nadhani ndo utazidi kunipenda kwa sababu bnitakavyo kutreat badly hutaamini
Miss Chaga..wewe umeolewa...! Yaan kabla sijataka kukuuliza swali langu napenda kujua hilo kwanza
mimi sijaolewa bado na ninaogopa ndoa kama nini aisee
Basi nachokushauri usichangie maada hii wee sikiliza tu alafu ujifunze my dia.nachotaka kukueleza mapenz mnayopeana kwenye uchumba ni tofauti sana na mapenz ktk ndoa
Miss Chaga..wewe umeolewa...! Yaan kabla sijataka kukuuliza swali langu napenda kujua hilo kwanza
naomba uite watu km 50 hivi waje washuhudie neno lako tafadhali.. lets not talk like local speeches! call witnesses to protect your speech!
mimi sijaolewa bado na ninaogopa ndoa kama nini aisee