Wanaume kukosa uaminifu, chanzo ni wanawake

Wanaume kukosa uaminifu, chanzo ni wanawake

na kwa nini na wewe unajua una mke/ mpenzi unatongoza? tafuta hela acha ujinga wa mating opportunity ujinga huuu wewe

Madam, najua watu wengi hawapendi kukiri hili jambo lakini ukweli ni kwamba deep down inside mwanaume anatafuta hela ili aongeze mating opportunity, because ukishakuwa na hela ndio urahisi unaongezeka tena.

Fighting nature is a waste of time, in the end it will always win.
 
Wanaume hawana mana kabisa,wanawake tunajitutumua kuwalea na kuwathamini lkn wao hawajali kazi ni kutupa maumivu. Unamfulia,unamnyooshea, viatu unabrush,maji unamuekea bafuni, chupu unafua hata kama ina m.v.,mpaka ma.uz.unamnyoa akija unampokea mapenzi shamsham sita kwa sita hata kama umechoka vp unampa haki yake...majukumu yote ya nyumbani unasimsmia wewe watoto wavae nguo nzur, waende shule yey hana hbr tena hata ndugu zake unawajali kiasi kwamba hachoki kuja nyumbani.... Lkn yeyw sasa ni kukuumiza kila leo. Baadhi ya wanaume sio
 
Kwanza sikubaliani na wewe, Wanaume pia ni tatizo tena changamoto hasa kwa wakati huu, Wanaume hawana uaminifu hawathamini familia zao wanathamini vimada, hawatusifii tukivaa vizuri wanasifia wapita njia, atakukataza kuingia jf yeye anakesha hapahapa tena mmu hasa ndio ukurasa wake, kwaiyo wanaume ni tatizo kubwa tu mnapaswa kuwa na moyo wa upendo kama ambavo sisi wanawake tunafanya, mkikosa kazi tunawalea na kamshahara kadogo hakohako, lakini kwa mwanamme, mwanamke akikosa kazi ndio mwanzo wa mwanyanyaso

ndio maana mkisifiwa kidogo tu tayar mmeshavua?! Lol kaz kweli kweli.............. Kiukweli nyinyi wanawake mezidi sana mkiwa kwenye uchumba mnatulia sana lakin ndoa ikishafungwa tu duu! Kibur,majibu ya dharau mpaka nyumban panakuwa syria. Hapo lazma mwanaume atafute aman ya moyo ugenini au nyumba ndogo
 
Namvulia nani? nilikuja tu nikakukuta umesimama nikakuvulia au ulianza wewe hadithi za uwongo na kweli
 
Wanaume hawana mana kabisa,wanawake tunajitutumua kuwalea na kuwathamini lkn wao hawajali kazi ni kutupa maumivu. Unamfulia,unamnyooshea, viatu unabrush,maji unamuekea bafuni, chupu unafua hata kama ina m.v.,mpaka ma.uz.unamnyoa akija unampokea mapenzi shamsham sita kwa sita hata kama umechoka vp unampa haki yake...majukumu yote ya nyumbani unasimsmia wewe watoto wavae nguo nzur, waende shule yey hana hbr tena hata ndugu zake unawajali kiasi kwamba hachoki kuja nyumbani.... Lkn yeyw sasa ni kukuumiza kila leo. Baadhi ya wanaume sio

hapo umenena vema kusema baadhi lakin lazma ukubali hata baadhi ya wanawake ni sehem ya tatzo. Kuna wanawake wanamajibu unashindwa hata umfanye nn! Utakuta mwingne ni mama wa nyumban kila kitu aneletewa mzee mzma unahangaika usk na mchana lkain mwanamke mwenyew kaz kugawa uchi tu
 
ila ikitokea wote waaminifu na kupendana kwa dhari raha sana....kusalitiwa kunauma jamani khaa
 
hivi nyie wanaume mnataka kujifanya vimungu mtu?

  • sisi wanawake tuwakatikie kiuno mpate raha..
  • tuwapikie chakula kizuri
  • tuwafulie nguo na manjonjo kibao

bado swala la kuheshimu kidudu chako niwe tena na jukumu hilo aisee hapana kitembeze kikiwa kimesimama ili kila papuchi iliyoko mbele yake iingie.... huu ni upuuzi jianaume nzima badala ya kufikiria kufanya kitu gani iingize kipato inafikiria kutafuta papuchi .... NYAMBAFU ZENU...

^^
Asante bi dada, tunakushukuru.
^^
 
Namvulia nani? nilikuja tu nikakukuta umesimama nikakuvulia au ulianza wewe hadithi za uwongo na kweli

ewaaa! Kama sio umaharage ya mbeya kwann ujirahisishe kisa kusifiwa tu?! Wakat unajua yupo anayekupenda na amekutolea mahari?! Kwahyo kila ukitongozwa lazma uvue kwavile tuu umefuatwa! Kweli hiki kizazi ni janga
 
ila ikitokea wote waaminifu na kupendana kwa dhari raha sana....kusalitiwa kunauma jamani khaa

aisee! Nakwambia pakiwa na uaminifu utataman mda wa kazin uishe haraka umuwahi ukamuone mamaa nyumban....... Hadi unaona dunia yote yakwako dah!
 
Kuwa na kipato inaweza kuwa chanzo cha matatizo katika ndoa. Mwanaume ukiwa na kipato kikubwa unakuwa na kazi kubwa sana ya kukwepa mitego ya mabinti! Inahitaji uvumilivu na uaminifu wa hali ya juu (kwa msaada wa Mungu!) kuweza kukwepa vishawishi vyote hivyo! Inafanana sana na mwanamke akiwa mrembo/mzuri wa kupindukia, vishawishi pia vinakuwa vingi! Kama mtu ana 'mi-tamaa' iliyopindukia anaweza kujikuta kila wiki anabadili wanawake pamoja na kuwa yupo kwenye ndoa! Wanawake wana mbinu na mitego mibaya sana....wanaume wengi inawawia vigumu kuchomoka.

Lakini pamoja na yote hayo, bado hayamuondolea mwanaume wajibu wake katika kulinda kiapo cha ndoa yake.

mkuu umeongea hoja nzuri sana kwa kiasi kikubwa,keep it up!
 
  • Thanks
Reactions: SMU
naungana nawe laussane.. wanaume sisi ni majanga!!

ila na nyie mpunguze mitikisiko na mikiki ndani ya ndoa!

mwanamke yuko radhi ambanie mumewe na kudai anaumwa seriously!

lakini baadae akatoka akaenda kwa bwana excel akakunjwa kwa style zoooote bila kujali kama anaumia ama la!!

hivi huwa mnaingia kwenye mahusiano kwa kulazimishwa? uhuru si mmeshapewa lakini?

maneno hayo!! wachane LIVE wataelewa tu.
 
Last edited by a moderator:
maneno hayo!! wachane LIVE wataeldwa tu.

wamesikia mkuu.. wanawake wanakuwa kama wana allergy na walivyovichagua!!

au ndio kusema chakula cha ndani hakina ladha?
 
hivi nyie wanaume mnataka kujifanya vimungu mtu?

  • sisi wanawake tuwakatikie kiuno mpate raha..
  • tuwapikie chakula kizuri
  • tuwafulie nguo na manjonjo kibao

bado swala la kuheshimu kidudu chako niwe tena na jukumu hilo aisee hapana kitembeze kikiwa kimesimama ili kila papuchi iliyoko mbele yake iingie.... huu ni upuuzi jianaume nzima badala ya kufikiria kufanya kitu gani iingize kipato inafikiria kutafuta papuchi .... NYAMBAFU ZENU...

Tatizo la wanaume ni kubwa; kidudu kisiposimama anapata mahangaiko makubwa na huzuni na kidudu kikisimama mahangaiko yanakuwa makubwa zaidi katika kukiridhisha na akili yooote huamia eneo hilo. Lakini hayo yote nasema ni mapepo kwani kwa mwanaume mkamilifu lazima ujue chemistry ya mwili wako na jinsi ya ku- contain chemical reaction zake
 
Swala la uaminifu ni la wote mwanamke na mwanaume wala haipaswi kulaumu upande wowote, ni jukumu la kila mmoja kuwa mwaminifu kwa mwenzake.
 
aisee! Nakwambia pakiwa na uaminifu utataman mda wa kazin uishe haraka umuwahi ukamuone mamaa nyumban....... Hadi unaona dunia yote yakwako dah!

lakini pia awe na majibu mazuri, anajituma na kujiweka safi. kama hajitumi nyumbani utapaona kama kituo cha polisi; na ukimpata anayejituma ndio utapasahau nyumbani kabisa.
 
naona uzi ulianziswa kwa nia njema ya kutafuta ufumbuzi wa tatzo ,watu tumeishia kulaumiana tu .Hii haimsaidii yeyote hapa.
Mchango wangu ni kama ifuatavyo:-
kama hatutaamua kuuchukua unyenyekevu na kuuishi kwa gharama zozote bila kuzingatia jinsia yako tofauti na hapo tutazidi kupitia magumu ya ndoa.
Kwanini tusiamue wote kuwa mabadiliko tunayotaka kuyaona?
mpende mwenzi wako,mjali,mheshimu na menhine yatabaki historia.
Tusimuache Mwenyezi Mungu katikamahusiano yetu.Kila mwenza aifahamu nafasi yake ktk ndoa naicheza vyema,inawezekana kuwa na ndoa bora na hai katika kizazi chetu!
 
wamesikia mkuu.. wanawake wanakuwa kama wana allergy na walivyovichagua!!

au ndio kusema chakula cha ndani hakina ladha?

wanawake samutaimu wanaboa sana. unamkuta mwanamke ni house wife lakini hata muda wa kufanya usafi binafsi hana. mwanaume ukirudi kutoka kuhemea unamkuta yuko rough---hadi papuchi ni chafu na inatoa creamy liquid with a choking smell!! wengi wanajidanganya kwamba wakishaolewa ndio maisha yameishia hapo---kumbe wanakaribisha michepuko kwa makusudi.

wana makusudi sana hawa viumbe wa kike. wakitaka kwenda kudinywa huko nje ndipo utawaona wanajiweka safi. hii maana yake nini kama sio ujeuri?
 
Back
Top Bottom