Wanaume kuja hapa

Wanaume kuja hapa

Mwanamke hana jeuri kama anapendwa, dawa ya Mtu jeuri au mtata nikumpenda tu.. Hamka asubuh mweke muandalie chai mwamshe mke wako kwa mabusu moto moto.. Mwekee mswaki dawa ya meno mpereke bafuni, akigusa maji ya moto mpaka raha. Akitoka kuoga anafikia chai safi.. Akimaliza kunywa chai muandalie nguo za kuvaa kwa kuzipiga pasi mpaka kufuri lake.. Kisha atoke aende anapotaka kwenda.. Akitudi jioni mpe pole mchezee mgongo taratibu sio unaanza kukagua simu acha hizo habari.. Mchezee mgongo mchekeshe kisha me ache nenda sebreni kaangalie taarifa habari achana nae kabisa..utaona hana hamu na kushika na smartphone yake Muda wote atakuwa anakuitaji. Kiufupi ni kumpenda tuu mke wako tena mpende kikweli kweli.. Mchumu kiss refu balaa. Ndio mke wako huyo.. Mpende sana sana
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] wanaume design hii walikataa kupanda Safina ya Nuhu gharika ikawasomba.
 
Babu aliniusia kitu mpaka leo sijasahau; Aliniambia, Ukikutana na mwanamke jeuri, ukimtongoza akiingia home, hakikisha, unampiga saana tena sana tu. Hakikisha unamwonyesha mapenzi ya hali ya juu ili asijekupeleka polisi. Pili hakikisha unampachika mimba kila siku asipumue. Usimruhusu uzazi wa mpango. Nguvu ya mwanamke ni uzazi tu. Akizaa akachoka tiyari hata kelele ndani ya nyumba huisha.
Wakiukataa mfumo dume, wazalisheni kila siku. Nguvu zikiisha watalegea tu.
Strategy ya babu ingefaa mwaka 47, mwanamke wasasa akiamua hazai nakuambia.
 
Utaumia shauli yako, Mtu unae mpenda hutakiwi umzeheshe kabisa, na ndio kosa kubwa wengi mnalifanya. Ukimzeesha out upo ladhi kutoka na kikongwe? Dawa ya mwanamke ni kumpenda tu, ukimpenda hutasubiri utumwe utajituma mwenyewe..
Lazma akuheshi mu kama mwanamme wake,ukiwadekeza sana wanakushusha hawakawii
 
Itategemea mwanamke uliyenaye, wengne bila ubabe mambo hayaendi ila wengne kistaarabu mambo yanaenda vizuri. Wewe demu wako au mkeo yupo kundi lipi ukimsoma?
 
Back
Top Bottom