Wanaume kuja hapa

Wanaume kuja hapa

Hivyo vipigo ipo siku atachoka na kusema basi......

Kwenye kuzaa siku hizi atake mwehyewe tu mwanamke...... anaweza weka vijiti kimya kimya au kitanzi kama sio sindano. ..utashangaa unaweka style zote holaaaa

BADILI TABIA;
Mwanamume mwenye kujua anachokifanya hafichwi. Nimesema, mzalishe kila siku. Ukitoka labour nakupa siku 14 tu tiyari nishakuwahi.
 
Na mwanamke yupi wa kufanyiwa hivyo kwanza? Hawa hawa wakibantu?

Unachopanda ndio unachovuna kweli si kweli? Panda Mapenzi matamu utavuna mapenzi, kabla ya kupanda kuna kuandaa shamba, na mambo mengi, hivyo kabla hujapanda shamba kwanza anza na kauli nzuri zenye tija kwa mrembo wako. kauli za kishetani ziache Kazini au mtaani.
 
Na hao wa mitaani? Machokoraa huwa hawajakunja ngumi? Asilimia kubwa wote wanaowazalisha wake zao sana kwa maisha ya sasa huwa wanawakimbia kukwepa majukumu. Je wewe uko upande upi mkuu? Mke kawa kikongwe watoto wanalia lialia utakaa kwako kweli mkuu?

kanyela mumo;
Unakumbuka nilivyosema nia yangu ni nini kumzalisha huyu mwanamke? Ni kutaka kumlegeza nguvu zake. Akiisha kulegea wala hana nguvu tena si mimi sasa namtawala?? Hakuna mwanamke mkali ukiisha mzalisha toto 6 mfululizo. Hii ni dawa nakufundisha usije wafanya wakajua nia yako wakakukataliaa uzao weye. Nenda kajaribu leo hii dawa
 
Habari wanajamii forum,natumai jumapili yenu iko vema
Hebu wanaume tuulizane kwa maisha tunayoishi na hawa wanawake hawa wa kisasa sasa hivi bila mfumo dume mambo yangeenda kweli?

Wewe ni mwanaume ama ni mvulana?
 
kanyela mumo;
Unakumbuka nilivyosema nia yangu ni nini kumzalisha huyu mwanamke? Ni kutaka kumlegeza nguvu zake. Akiisha kulegea wala hana nguvu tena si mimi sasa namtawala?? Hakuna mwanamke mkali ukiisha mzalisha toto 6 mfululizo. Hii ni dawa nakufundisha usije wafanya wakajua nia yako wakakukataliaa uzao weye. Nenda kajaribu leo hii dawa

Ukimchosha mke wako unapata faida gani? Umchoshe mke wako kisa kumtawala? Nina mtoto wa kike ntamuombea Mungu sana asije kutumbukia mikono Kama yako.
 
Kwa hiyo hata Kama unampenda usimuoe kwa sababu ana sifa hizo? Kwani lengo hasa la kuwa mke na mume ni nini? Mwanamke anapendwa kupendwa sana haijarishi yukoje, Mtu kawa mpaka mke wako, mama wa watoto wako kwanini usimsikilize?
Ahaa, umeuliza swali zuri sana.

Lengo la kuoa linategemea na mtu binafsi,

Kuna wengine wanaoa kwasababu wanaamini ni kusudi na mpango wa Mungu kwamba Mwanaume awe na mke.

Kuna wengine wanaoa kwasababu ya mashinikizo ya Wazazi au ndugu na jamaa.

Kuna wengine wanaoa kwasababu wanaamini kuwa na familia ni jambo zuri kwa watoto wao.

Na wapo wanaooa tu kwasababu wengine wanaoa.

With all the reasons above, ushauri mzuri sana ni kwamba:

Mwanaume anapaswa kuwa KICHWA na KIONGOZI katika familia yake, anapaswa kuwa Juu ya Mke wake kimaamuzi. LAKINI Elimu, Pesa na Umri/Ukomavu ni vitu vinavyompa Mwanamke yeyote KIBURI.

Ndio maana katika ndoa nyingi sana, hata Mwanaume akiwa Bilionea na mkewe hana chochote ndoa itadumu UNLIKE pale mwanamke anapokuwa na nguvu ya pesa ama elimu.

Unaweza ukapinga uwezavyo ila huo ndio ukweli.
 
Khaaa nini? Mwanamke ni maua, maua yanamwagiliziwa maji, yanapaliliwa, yanakatiwa, yanawekewa mbolea na n.k. Je unayafanya hayo kwa mke wako ambae ndio ua la moyoni mwako? Au unaacha fedha tu bila kuwa bwana shamba? Ndio hapo unamkuta Mtu ana mipesa Ila mke analiwa na mchoma maindi. Dawa ya mwanamke ni kumpenda tu.
Kinadharia uko sawa. Ngoja tuangalie hii mifano miwili.
1. Babu na baba zetu wa kibantu walioendesha familia kwa iron fist. Rate ya divorce ilikuwa ndogo sana, na mke alikuwa hata akipewa kibano vipi after a week or two alikuwa anarudi kwa mumewe.
2. Uzungu au ndoa zetu tunazotaka kuzimodel kwa tamthilia za kifilipino, check hizo divorce rates.
Mimi ni mkristo (nadiklea interest mapema ), ila pale garden wakati Mungu anagawa adhabu, Adam aliambiwa atakuwa kwa jasho, Eve zaidi ya kuzaa kwa uchungu aliambiwa atakuwa na wivu kwa mumewe na mumewe ATAMTAWALA. Hata mwandishi mmoja alishasema uishi nao kwa akili, na hapa nashawishika kuamini kuwa alimaanisha uwezo wa kuchanganya dossage ya LOVE + SOME FEW KNUCKLES + COMMON SENSE + INSTINCTS
 
Unachopanda ndio unachovuna kweli si kweli? Panda Mapenzi matamu utavuna mapenzi, kabla ya kupanda kuna kuandaa shamba, na mambo mengi, hivyo kabla hujapanda shamba kwanza anza na kauli nzuri zenye tija kwa mrembo wako. kauli za kishetani ziache Kazini au mtaani.
Dada yangu, sijui kama umesoma point yangu ya msingi katika hoja hii.
 
Patience
Napiga kwa akili hata wewe hutajijua. Napiga na mabusu elf elf na maneno mazuri sana mpaka unachanganyikiwa. Na huku nakuzalisha kisawasawa kila siku mpaka ulegee
Ahaa...kumbe.., nilikuwa nishaogopa ujue.. Ila suala la kumzalisha labda apende yeye kuzaa, mama ukishajifungua mtoto wa kwanza wadau wa family planning wanaanza na wewe kukufahamisha njia za kuzuia mimba kabla hata hujatoka hospitali. Sasa kwenye hilo unaweza ukawa unapiga ngumi ukuta..
 
Ahaa, umeuliza swali zuri sana.

Lengo la kuoa linategemea na mtu binafsi,

Kuna wengine wanaoa kwasababu wanaamini ni kusudi na mpango wa Mungu kwamba Mwanaume awe na mke.

Kuna wengine wanaoa kwasababu ya mashinikizo ya Wazazi au ndugu na jamaa.

Kuna wengine wanaoa kwasababu wanaamini kuwa na familia ni jambo zuri kwa watoto wao.

Na wapo wanaooa tu kwasababu wengine wanaoa.

With all the reasons above, ushauri mzuri sana ni kwamba:

Mwanaume anapaswa kuwa KICHWA na KIONGOZI katika familia yake, anapaswa kuwa Juu ya Mke wake kimaamuzi. LAKINI Elimu, Pesa na Umri/Ukomavu ni vitu vinavyompa Mwanamke yeyote KIBURI.

Ndio maana katika ndoa nyingi sana, hata Mwanaume akiwa Bilionea na mkewe hana chochote ndoa itadumu UNLIKE pale mwanamke anapokuwa na nguvu ya pesa ama elimu.

Unaweza ukapinga uwezavyo ila huo ndio ukweli.

Ni ukweli mtupu ila dawa ya mwanamke ni kumpenda sana, na kama Ana pesa kukuzidi wewe simamia kwenye ndoto zako. Tatizo wanaume wengi tukipata mwanamke mwenye Pesa basi tunatelekeza ndoto zetu tunaendelea ndoto za mwanamke, Kama ni biashara na wewe utaganda Kama mnara wa Posta hapo hapo harafu utataka umshauli wakati hujui Nani aliekuwa anamshauli mpaka anafika hapo, Kama akikuomba ushauli mshauli. Simamia ndoto yako Kama Kocha wa Taifa stars, sio ndio ukawe dereva wa kumuendesha mama hamtafika mbali. Hivyo dawa ya mke ni kumpa heshima ya kuwa mke wako, naamanisha kumpenda na Mwisho fanya yanayo kuhusu ikiwemo kufanya ya ndoto yako.
 
Kinadharia uko sawa. Ngoja tuangalie hii mifano miwili.
1. Babu na baba zetu wa kibantu walioendesha familia kwa iron fist. Rate ya divorce ilikuwa ndogo sana, na mke alikuwa hata akipewa kibano vipi after a week or two alikuwa anarudi kwa mumewe.
2. Uzungu au ndoa zetu tunazotaka kuzimodel kwa tamthilia za kifilipino, check hizo divorce rates.
Mimi ni mkristo (nadiklea interest mapema ), ila pale garden wakati Mungu anagawa adhabu, Adam aliambiwa atakuwa kwa jasho, Eve zaidi ya kuzaa kwa uchungu aliambiwa atakuwa na wivu kwa mumewe na mumewe ATAMTAWALA. Hata mwandishi mmoja alishasema uishi nao kwa akili, na hapa nashawishika kuamini kuwa alimaanisha uwezo wa kuchanganya dossage ya LOVE + SOME FEW KNUCKLES + COMMON SENSE + INSTINCTS

Bila shaka maneno mengi yanetoka katika biblia. Ila nikupe angalizo biblia ni kama katiba iliyowekwa kuwakamata watu nusu ya dunia Kama si Dunia nzima. Nusu inayobaki itawaliwe na Nchi zao.. Pili ndoa ni agano kati ya Mtu na Mtu ambayo umalizikia kiimani au serikalini. Wote sie ni sawa ndio maana wakati mpo wachumba utafanya usafi wa Hali ya juu pale mchumba wako anapokuja, na akija utamjali utampeti peti, utamsikiliza mpaka binti wa watu anaona hakuna Kama wewe, unamuona anaingia kwenye ndoa hamadi kumbe upo bongo movie! Je unatemea utapokea nini kutoka kwake? Au akakufungulie kesi kwa kumpa mapenzi yenye expire date?

Samahani kwa mwandiko mbaya.
 
Babu aliniusia kitu mpaka leo sijasahau; Aliniambia, Ukikutana na mwanamke jeuri, ukimtongoza akiingia home, hakikisha, unampiga saana tena sana tu. Hakikisha unamwonyesha mapenzi ya hali ya juu ili asijekupeleka polisi. Pili hakikisha unampachika mimba kila siku asipumue. Usimruhusu uzazi wa mpango. Nguvu ya mwanamke ni uzazi tu. Akizaa akachoka tiyari hata kelele ndani ya nyumba huisha.
Wakiukataa mfumo dume, wazalisheni kila siku. Nguvu zikiisha watalegea tu.
Unampiga kivipi...ngumi, vibao na mateke au unampiga na kichwa kidogo. Hebu fafanua mkuu[emoji2] [emoji32]
 
"Dawa ni kuwapiga tu kama 'punch bag' ndo mambo yataenda huo ndo uanaume" (huu ni mtazamo wa baadhi ya wanaume)
 
Tatizo wameitwa wanaume ila thread imejaa ma ke ?
 
Unampiga kivipi...ngumi, vibao na mateke au unampiga na kichwa kidogo. Hebu fafanua mkuu[emoji2] [emoji32]

mpenda siri;
Tangu lini ngumi ikamzalisha mtu? Tumia kile kichwa kidogo kila siku ukimwambia hakuna mwingine hivyo huwezi kufa njaa na ubwabwa upo kabatini.
 
Back
Top Bottom