Wanaume kuja hapa

Wanaume kuja hapa

Mwanamke hana jeuri kama anapendwa, dawa ya Mtu jeuri au mtata nikumpenda tu.. Hamka asubuh mweke muandalie chai mwamshe mke wako kwa mabusu moto moto.. Mwekee mswaki dawa ya meno mpereke bafuni, akigusa maji ya moto mpaka raha. Akitoka kuoga anafikia chai safi.. Akimaliza kunywa chai muandalie nguo za kuvaa kwa kuzipiga pasi mpaka kufuri lake.. Kisha atoke aende anapotaka kwenda.. Akitudi jioni mpe pole mchezee mgongo taratibu sio unaanza kukagua simu acha hizo habari.. Mchezee mgongo mchekeshe kisha me ache nenda sebreni kaangalie taarifa habari achana nae kabisa..utaona hana hamu na kushika na smartphone yake Muda wote atakuwa anakuitaji. Kiufupi ni kumpenda tuu mke wako tena mpende kikweli kweli.. Mchumu kiss refu balaa. Ndio mke wako huyo.. Mpende sana sana
Khaaaaa
 
"Mwanaume ukiruhusu mwanamke akikutawala umekwisha..."[emoji124] [emoji124]

Sio kweli, mbona boss wako ata akiwa mwanamke unamheshimu na unamruhusu akutawale na haushi? Embu mtazame mke wako alivyo mzuri, msikilize nae atakusikiliza mwisho mtasikilizana na mtapendana
 
Wawazalishe kila siku!! Utawasadia kuwatunza hao watoto wa kila siku?

kanyela mumo;
Usiogope, kila mtoto awe wa kiume au kike huja duniani akiwa kafunga ngumi. Yaani anakuja na vyombo vyake vyote atakavyo vihitaji hapa duniani. Uliza mkunga.
 
Mwanamke hakuumbwa ametokea ubavun mwa mwanaume kwahyo huna haja ya kuumiza kichwa juu yake ni kumgeuza utakavyo tu
 
Sio kweli, mbona boss wako ata akiwa mwanamke unamheshimu na unamruhusu akutawale na haushi? Embu mtazame mke wako alivyo mzuri, msikilize nae atakusikiliza mwisho mtasikilizana na mtapendana
Kuna tofauti kati ya kuwa boss na kutawala mkuu...kuwa boss haimaanishi kutawala!! Nitamheshimu sana mke wangu lakini kamwe sitamruhusu anitawale...
 
ama kweli huyo ni babu yako.

atoto;
Usiogope kwani alikuwa na hekima kweli. Fikiri mnakotupeleka sasa hivi. Muda si mrefu, wanaume tutakaa nyumbani wamama ndo wakatafute chakula. Sijui wangu akiwa mjamzito atahangaikaje na vyote viwili.
Wanadai haki sawa kwa wote.
 
Khaaa nini? Mwanamke ni maua, maua yanamwagiliziwa maji, yanapaliliwa, yanakatiwa, yanawekewa mbolea na n.k. Je unayafanya hayo kwa mke wako ambae ndio ua la moyoni mwako? Au unaacha fedha tu bila kuwa bwana shamba? Ndio hapo unamkuta Mtu ana mipesa Ila mke analiwa na mchoma maindi. Dawa ya mwanamke ni kumpenda tu.
 
Oooooh!! okey, basi mzalishe tu kila mwaka, yaani ni bandika bandua tu hadi mayai yaishe.

atoto;
Usiogope kwani alikuwa na hekima kweli. Fikiri mnakotupeleka sasa hivi. Muda si mrefu, wanaume tutakaa nyumbani wamama ndo wakatafute chakula. Sijui wangu akiwa mjamzito atahangaikaje na vyote viwili.
Wanadai haki sawa kwa wote.
 
Babu aliniusia kitu mpaka leo sijasahau; Aliniambia, Ukikutana na mwanamke jeuri, ukimtongoza akiingia home, hakikisha, unampiga saana tena sana tu. Hakikisha unamwonyesha mapenzi ya hali ya juu ili asijekupeleka polisi. Pili hakikisha unampachika mimba kila siku asipumue. Usimruhusu uzazi wa mpango. Nguvu ya mwanamke ni uzazi tu. Akizaa akachoka tiyari hata kelele ndani ya nyumba huisha.
Wakiukataa mfumo dume, wazalisheni kila siku. Nguvu zikiisha watalegea tu.
Hivyo vipigo ipo siku atachoka na kusema basi......

Kwenye kuzaa siku hizi atake mwehyewe tu mwanamke...... anaweza weka vijiti kimya kimya au kitanzi kama sio sindano. ..utashangaa unaweka style zote holaaaa
 
Babu aliniusia kitu mpaka leo sijasahau; Aliniambia, Ukikutana na mwanamke jeuri, ukimtongoza akiingia home, hakikisha, unampiga saana tena sana tu. Hakikisha unamwonyesha mapenzi ya hali ya juu ili asijekupeleka polisi. Pili hakikisha unampachika mimba kila siku asipumue. Usimruhusu uzazi wa mpango. Nguvu ya mwanamke ni uzazi tu. Akizaa akachoka tiyari hata kelele ndani ya nyumba huisha.
Wakiukataa mfumo dume, wazalisheni kila siku. Nguvu zikiisha watalegea tu.
Poor mangatara , piga uozee segerea.
 
Kuna tofauti kati ya kuwa boss na kutawala mkuu...kuwa boss haimaanishi kutawala!! Nitamheshimu sana mke wangu lakini kamwe sitamruhusu anitawale...

Jina usilolipenda ukiitwa ndio jina huwa linakuwa lako. Au usie mpenda kaja! Jenga mfumo mzuri wa kumpenda na kumpa uhuru mkuu, hutaona Kama anakutawala na pia utampa uwezo mkubwa wa kuinua familia kiuchumi.
 
Mwanamke hana jeuri kama anapendwa, dawa ya Mtu jeuri au mtata nikumpenda tu.. Hamka asubuh mweke muandalie chai mwamshe mke wako kwa mabusu moto moto.. Mwekee mswaki dawa ya meno mpereke bafuni, akigusa maji ya moto mpaka raha. Akitoka kuoga anafikia chai safi.. Akimaliza kunywa chai muandalie nguo za kuvaa kwa kuzipiga pasi mpaka kufuri lake.. Kisha atoke aende anapotaka kwenda.. Akitudi jioni mpe pole mchezee mgongo taratibu sio unaanza kukagua simu acha hizo habari.. Mchezee mgongo mchekeshe kisha me ache nenda sebreni kaangalie taarifa habari achana nae kabisa..utaona hana hamu na kushika na smartphone yake Muda wote atakuwa anakuitaji. Kiufupi ni kumpenda tuu mke wako tena mpende kikweli kweli.. Mchumu kiss refu balaa. Ndio mke wako huyo.. Mpende sana sana
Hawa wanaume wa kibantu???
Wenzio wanawaza kuwapiga na kuwazalisha tu we unazungumzia kumwekea dawa ya mswaki???
 
kanyela mumo;
Usiogope, kila mtoto awe wa kiume au kike huja duniani akiwa kafunga ngumi. Yaani anakuja na vyombo vyake vyote atakavyo vihitaji hapa duniani. Uliza mkunga.

Na hao wa mitaani? Machokoraa huwa hawajakunja ngumi? Asilimia kubwa wote wanaowazalisha wake zao sana kwa maisha ya sasa huwa wanawakimbia kukwepa majukumu. Je wewe uko upande upi mkuu? Mke kawa kikongwe watoto wanalia lialia utakaa kwako kweli mkuu?
 
Habari wanajamii forum,natumai jumapili yenu iko vema
Hebu wanaume tuulizane kwa maisha tunayoishi na hawa wanawake hawa wa kisasa sasa hivi bila mfumo dume mambo yangeenda kweli?
Kamwe usije muoa binti aliyekuzidi au mliyelingana katika haya:-

1) Elimu
2) Pesa
3) Umri
4) Akili

Akikuzidi hayo basi hata ukimuoa hutaweza kuwa KIONGOZI/ KICHWA kwake kama ilivyo kusudi la Mungu.

Lakini pia kwasababu hajakuzidi hayo isiwe sababu ya kumtesa bila sababu.
 
Mwanamke hana jeuri kama anapendwa, dawa ya Mtu jeuri au mtata nikumpenda tu.. Hamka asubuh mweke muandalie chai mwamshe mke wako kwa mabusu moto moto.. Mwekee mswaki dawa ya meno mpereke bafuni, akigusa maji ya moto mpaka raha. Akitoka kuoga anafikia chai safi.. Akimaliza kunywa chai muandalie nguo za kuvaa kwa kuzipiga pasi mpaka kufuri lake.. Kisha atoke aende anapotaka kwenda.. Akitudi jioni mpe pole mchezee mgongo taratibu sio unaanza kukagua simu acha hizo habari.. Mchezee mgongo mchekeshe kisha me ache nenda sebreni kaangalie taarifa habari achana nae kabisa..utaona hana hamu na kushika na smartphone yake Muda wote atakuwa anakuitaji. Kiufupi ni kumpenda tuu mke wako tena mpende kikweli kweli.. Mchumu kiss refu balaa. Ndio mke wako huyo.. Mpende sana sana

This theory doesnt work, ataliwa ukimuuliza atakwambia intaka mwanaune rough
 
Ndio hawa hawa wanawake wa kibantu
Hapana aisee, hawa kuwahudumia inachosha kwakweli kwasababu unaweza kumfanyia kila zuri ila finally anakuona zoba na kuanza kukusema kwa wenzie kuwa amemkamata Mume bwege.

Inshort, kibongo bongo Romance as romance hakuna.
 
Kamwe usije muoa binti aliyekuzidi au mliyelingana katika haya:-

1) Elimu
2) Pesa
3) Umri
4) Akili

Akikuzidi hayo basi hata ukimuoa hutaweza kuwa KIONGOZI/ KICHWA kwake kama ilivyo kusudi la Mungu.

Lakini pia kwasababu hajakuzidi hayo isiwe sababu ya kumtesa bila sababu.

Kwa hiyo hata Kama unampenda usimuoe kwa sababu ana sifa hizo? Kwani lengo hasa la kuwa mke na mume ni nini? Mwanamke anapendwa kupendwa sana haijarishi yukoje, Mtu kawa mpaka mke wako, mama wa watoto wako kwanini usimsikilize?
 
Back
Top Bottom