Wanaume kama hawa

Wanaume kama hawa

Babaako na mamaako ndo wenye jukumu la kukutunza na kukuhudumia kabla ya kuolewa. Kwa mpenzi wangu sina jukumu la kumtunza, kumpa pesa na vijizawadi ni maamuzi yangu mimi sio jukumu kwangu.

Na ukumbuke tu, huwezi kuwa na mpenz kama hamfanyi mapenzi fulu stopu
 
Kuna wanaume wengine,wana tabia mbaya sana,sio nzuri

Unakuwa nae kwenye mahusiano vizuri tu lakini umuombapo kitu labda hela kwa ajili ya matumizi,....hawezi kukupa hela inayoeleweka....,au hawezi kukuletea zawadi

Hasa kama mna mwezi hamjafanya mapenzi

Mwanaume eti anakupa hela inayoeleweka baada ya kumaliza kufanya mapenzi,au atakuletea zawadi muda huo anataka mfanye mapenzi
Ukipokea zawadi na bila kufanya...anakuwa hayupo happy

Wanaume hivi ukimaliza kufanya mapenzi....ndo unajua umuhimu wa mpenzi wako?

Kwa nini usimuhudumie mpenzi wako kwa asilimia mia hata kama hamjafanya mapenzi ndani ya mwezi mmoja?
Na wazazi nao kazi nini ? Ukitaka uhudumiwe 100% ni mpaka uolewe. Maana ntajuaje km Mimi ndo future husband? Je km nahudumia halafu na ww unahonga umpendae? Km nyie ni wapenzi tu basi ili upewe hela you exchange for sex na mwanaume anajua hivyo. Wanaume tunathamini sana wanawake ambao hawako after money kwa sababu if you need money means MTU yoyote anaweza kukununua. Wife material tunaamini ukimpa hela kimtego atakwambia ufanye kitu cha maana cha maisha. ILA huyu anaetaka Mara laki ya saluni na kuremba kucha mwenge huyo anakua just for sale. Nani kakwambia mwanaume anataka makucha marefu na manywele ya bandia eti ndo umependeza? We need natural women who understands and submit to their husbands. Upo? Km hujaolewa acha mwanaume ahudumie mama na wanaomtegemea na Kujenga maisha yake na mke wake mtarajiwa. Omba ndoa sio hela ya matumizi.
 
Sasa we hunihudumii penzi hata hiyo mwez mmoja mie ndo nikuhudumie pesa kirahisi hivyo, kila mtu atimize majukum yake, nijali kwa gemu nakujali kwa shopping...fullstop, hamna kingine hapo, we unataka kila ukiomba nikupe ila huangalii mi nataka nini pia, ubinafsi huo, anayenipa gemu kila nikijiskia au hata nisipoomba gemu ndo nammwagia mapesa km kashinda BIKO, mshiko nje njeee
 
Na wazazi nao kazi nini ? Ukitaka uhudumiwe 100% ni mpaka uolewe. Maana ntajuaje km Mimi ndo future husband? Je km nahudumia halafu na ww unahonga umpendae? Km nyie ni wapenzi tu basi ili upewe hela you exchange for sex na mwanaume anajua hivyo. Wanaume tunathamini sana wanawake ambao hawako after money kwa sababu if you need money means MTU yoyote anaweza kukununua. Wife material tunaamini ukimpa hela kimtego atakwambia ufanye kitu cha maana cha maisha. ILA huyu anaetaka Mara laki ya saluni na kuremba kucha mwenge huyo anakua just for sale. Nani kakwambia mwanaume anataka makucha marefu na manywele ya bandia eti ndo umependeza? We need natural women who understands and submit to their husbands. Upo? Km hujaolewa acha mwanaume ahudumie mama na wanaomtegemea na Kujenga maisha yake na mke wake mtarajiwa. Omba ndoa sio hela ya matumizi.
 
In every action there is equal and unequal reaction..
Angalizo kidogo: To every action there is an equal and opposite reaction, Newton 3rd Law of Motion

Wanawake wanadhani wao ndo wanatakiwa kuombaomba tuu hela kwa wapenzi wao, bafo hujachumbiwa, hujaolewa, ndokwaanza wapenzi afu unataka niinvest mahela kwenye mradi huu wakati ww hujainvest chupi kwangu aaah hata zuzu anashtukia hiyo sio poa
 
Wanasikitisha sana...

I take care of mahondaw wangu anytime... sometimes hata hana shida na chochote basi tu naamua kumpa, akikataa namwambia akiamua kutupa, kugawa ni yeye mwenyewe...

Cc: mahondaw
 
Kuwa kwenye mahusiano ni km kuendesha baskeli, mguu mmoja tuu hauwezi kwenda mbele utachoka utashuka, ila ukitumia yote miwili unaenda faaasta tena hata moyo unaenda mbio ili miguu ichanganye pedeli, so uhusiano wa kumtegemea dume lichome wallet afu jike halijishughulishi linashinda kuomba na kunung'unika lisipopewa duuh sio dunia hii, hiyo inawezekana kwa mzazi wako tu ndo anakuhudumia kwasababu ni jukumu lake hadi utakapo chumbiwa au kuolewa
 
Back
Top Bottom