Kuna wanaume wengine,wana tabia mbaya sana,sio nzuri
Unakuwa nae kwenye mahusiano vizuri tu lakini umuombapo kitu labda hela kwa ajili ya matumizi,....hawezi kukupa hela inayoeleweka....,au hawezi kukuletea zawadi
Hasa kama mna mwezi hamjafanya mapenzi
Mwanaume eti anakupa hela inayoeleweka baada ya kumaliza kufanya mapenzi,au atakuletea zawadi muda huo anataka mfanye mapenzi
Ukipokea zawadi na bila kufanya...anakuwa hayupo happy
Wanaume hivi ukimaliza kufanya mapenzi....ndo unajua umuhimu wa mpenzi wako?
Kwa nini usimuhudumie mpenzi wako kwa asilimia mia hata kama hamjafanya mapenzi ndani ya mwezi mmoja?