Darvon
Member
- Apr 14, 2018
- 93
- 74
Wewe mkuu akili yako imepinda kabisa.Nancy alinihubiria hivi hivi
Vipi yule mtoto wa kupanda kwenye madirisha yupo?
Wewe mkuu akili yako imepinda kabisa.Nancy alinihubiria hivi hivi
njoo pm tuyajengeHahahah ,sithui
Kwani hicho unachonipa kinanisaidia kutafuta pesa?Kuna wanaume wengine,wana tabia mbaya sana,sio nzuri
Unakuwa nae kwenye mahusiano vizuri tu lakini umuombapo kitu labda hela kwa ajili ya matumizi,....hawezi kukupa hela inayoeleweka....,au hawezi kukuletea zawadi
Hasa kama mna mwezi hamjafanya mapenzi
Mwanaume eti anakupa hela inayoeleweka baada ya kumaliza kufanya mapenzi,au atakuletea zawadi muda huo anataka mfanye mapenzi
Ukipokea zawadi na bila kufanya...anakuwa hayupo happy
Wanaume hivi ukimaliza kufanya mapenzi....ndo unajua umuhimu wa mpenzi wako?
Kwa nini usimuhudumie mpenzi wako kwa asilimia mia hata kama hamjafanya mapenzi ndani ya mwezi mmoja?
Hahaha maneno ya mfa majiUnapomuacha mpenzi mmoja na kwenda kwa mwingine ujue unakaribia kufa ....
Reserch yako ilihusisha madada poa wangapi?Mwanaume hufanya mapenzi kwa ajili ya leasure na sio love lakini mwanamke hupenda sex for love not leasure iko ivyo psychological usiniulize kwanini.
Nb. Madada poa hawapendi wanachokifanya but ni Shida za kimaisha.kwa kina zaidi Fanya research ndogo utapata jawabu.
Kukutunza sio lazima pesa,Wewe umenipenda lazima unitunze,mke ni ua... Lazima lipaliliwe
Mpanda madirisha yupoWewe mkuu akili yako imepinda kabisa.
Vipi yule mtoto wa kupanda kwenye madirisha yupo?
Hahahaaa. Lol.Ngoja nipitie comments kwanza nitarudi, imeandikwa asiyefanya kazi na asile sijataja mtu hapa.
Hahahaaa. Ndio hivyo rafiki mutoe pesa sio paka mupewe naniliu.Aisee
Hahah!! Yani hii pesa imekua ni hitaji muhimu sana katika mahusianoHahahaaa. Ndio hivyo rafiki mutoe pesa sio paka mpewe naniliu.
Hahahaaaa. Ni kama mbolea rafiki ili penzi limee. TehHahah!! Yani hii pesa imekua ni hitaji muhimu sana katika mahusiano