Wanaume kama hawa

Wanaume kama hawa

Leo ni 29 angalia vizuri
Duuh! Ngoja nicheck aiseee. Ahsante kwa ukumbusho si unajua tena Misikiti kuwa mbali na nyumbani basi mengi yanatupita.

Wacha nicheck na kuna watu wangu wa karibu niwaulize nao.
 
Kuna wanaume wengine,wana tabia mbaya sana,sio nzuri

Unakuwa nae kwenye mahusiano vizuri tu lakini umuombapo kitu labda hela kwa ajili ya matumizi,....hawezi kukupa hela inayoeleweka....,au hawezi kukuletea zawadi

Hasa kama mna mwezi hamjafanya mapenzi

Mwanaume eti anakupa hela inayoeleweka baada ya kumaliza kufanya mapenzi,au atakuletea zawadi muda huo anataka mfanye mapenzi
Ukipokea zawadi na bila kufanya...anakuwa hayupo happy

Wanaume hivi ukimaliza kufanya mapenzi....ndo unajua umuhimu wa mpenzi wako?

Kwa nini usimuhudumie mpenzi wako kwa asilimia mia hata kama hamjafanya mapenzi ndani ya mwezi mmoja?

Umekomeshwa tapeli wa kike!! Uhudumiwe ili iweje wakati wewe hutoi huduma?!

Waelezeni wazazi wenu juu ya mahitaji yenu ili wawape huduma.

Wakati wewe hutoi huduma kwa mwezi mzima, kuna wenzako wengine huwa wanakuja kutoa hiyo huduma na wao huchukua posho yao.
 
Duuh! Ngoja nicheck aiseee. Ahsante kwa ukumbusho si unajua tena Misikiti kuwa mbali na nyumbani basi mengi yanatupita.

Wacha nicheck na kuna watu wangu wa karibu niwaulize nao.

Poa, unaweza tumia simu kucheki kalenda
 
Poa, unaweza tumia simu kucheki kalenda
Sawa ila kiukweli huwa siziamini tarehe za kwenye kalenda.

Ona kama hapo chini ndio isomavyo kwangu
 
Attachments

  • 20180515_100803.jpg
    20180515_100803.jpg
    32.1 KB · Views: 38
Kuna wanaume wengine,wana tabia mbaya sana,sio nzuri

Unakuwa nae kwenye mahusiano vizuri tu lakini umuombapo kitu labda hela kwa ajili ya matumizi,....hawezi kukupa hela inayoeleweka....,au hawezi kukuletea zawadi

Hasa kama mna mwezi hamjafanya mapenzi

Mwanaume eti anakupa hela inayoeleweka baada ya kumaliza kufanya mapenzi,au atakuletea zawadi muda huo anataka mfanye mapenzi
Ukipokea zawadi na bila kufanya...anakuwa hayupo happy

Wanaume hivi ukimaliza kufanya mapenzi....ndo unajua umuhimu wa mpenzi wako?

Kwa nini usimuhudumie mpenzi wako kwa asilimia mia hata kama hamjafanya mapenzi ndani ya mwezi mmoja?
Na nyie mademu wa kibongo mnatuboa sana we li demu linakutafsiri kama mfadhili badala ya kukutafsiri kama mpz.Arafu mnaudhi tabia yenu ya kujiona nyie ndo ma receiver sisi ndo ma giver.Wenzenu huko nchi za watu wenye akili timamu zawadi zinaflow direction zote huku uelekeo mmoja.Ndiyo maana si tunawapa hela baada ya kuwabanjua maana madem karibia wote include walioolewa hawana tofauti na wanaojiuza kabisa.LI DEMU LINAKUSUBIRIA ULE MUDA WA KUPIZ NDO LINAANZA KUKUOMBA VITU VYA THAMANI.
 
Wewe limwagilie vizuri utakavyo,ila ukumbuke kulipalilia ili liendelee kupendeza
Kwa jibu lako inaonekana una low IQ.
Mwenzio kasema kulimwagilia akimaanisha kulihudumia we umemjibu ukimaanisha kugegeda.
Kwa kuhitimisha we ni muuza papuchi.
 
Hamna uhusiano wa kutoa tuu bila kupokea, mapenzi na pesa vinabalansi, ila ukiona hupewi hadi mda wa kugegeda ujue kuna mtu anapewa badala yako, vile vile sisi tunajua tu tukiona tunapewa ratiba ya gemu basi kuna libaba linapewa bila kuomba huko somewhere
 
Kuna wanaume wengine,wana tabia mbaya sana,sio nzuri

Unakuwa nae kwenye mahusiano vizuri tu lakini umuombapo kitu labda hela kwa ajili ya matumizi,....hawezi kukupa hela inayoeleweka....,au hawezi kukuletea zawadi

Hasa kama mna mwezi hamjafanya mapenzi

Mwanaume eti anakupa hela inayoeleweka baada ya kumaliza kufanya mapenzi,au atakuletea zawadi muda huo anataka mfanye mapenzi
Ukipokea zawadi na bila kufanya...anakuwa hayupo happy

Wanaume hivi ukimaliza kufanya mapenzi....ndo unajua umuhimu wa mpenzi wako?

Kwa nini usimuhudumie mpenzi wako kwa asilimia mia hata kama hamjafanya mapenzi ndani ya mwezi mmoja?
Tatizo na nyinyi wanawake mnapenda sana free lunch.......kwakifupi hatuna imani na nyinyi ndomana tunatoa pesa siku ya game.....siku za kawaida utaambulia 5,000 au 10,000 tu......mana naweza kupa pesa nyingi kumbe na wewe unaenda kuwahonga wakina msingi kiuno
 
Back
Top Bottom