Wanaume kama hawa

Wanaume kama hawa

Kuna wanaume wengine,wana tabia mbaya sana,sio nzuri

Unakuwa nae kwenye mahusiano vizuri tu lakini umuombapo kitu labda hela kwa ajili ya matumizi,....hawezi kukupa hela inayoeleweka....,au hawezi kukuletea zawadi

Hasa kama mna mwezi hamjafanya mapenzi

Mwanaume eti anakupa hela inayoeleweka baada ya kumaliza kufanya mapenzi,au atakuletea zawadi muda huo anataka mfanye mapenzi
Ukipokea zawadi na bila kufanya...anakuwa hayupo happy

Wanaume hivi ukimaliza kufanya mapenzi....ndo unajua umuhimu wa mpenzi wako?

Kwa nini usimuhudumie mpenzi wako kwa asilimia mia hata kama hamjafanya mapenzi ndani ya mwezi mmoja?
inategemea maana huoni kuna wengine humu ndani wanalalamika wamebigwa vizinga hadi wanataka kwenda mahakamani
 
Halafu wanadai hela nyingi ambazo baba zao kule vijijini wanakaa mpaka mwezi hawana uwezo wa kuzishika....pumbafuuuuuu! Upewe hela mtu mwenyewe umetumika yamebaki makapi tu! Nyambafuuuuuuu! Unapenda pesa wakati kwenu mkijikuna mnatoka unga wa bada! Paaaambavu!
 
Mwenyewe
 
Back
Top Bottom