Wanaume kama hawa

Wanaume kama hawa

Umalaya umetamalaki sana, ikiwa wewe ni mwanamke na unapenda kupewa pesa basi ujue ni malaya unauza K, sema tofaut yako na wale wa Kahumba ni kuwa wewe hujitangazi, wewe ni MALAYA hata kama unaemchuna ni mmoja tu
 
Kuna wanaume wengine,wana tabia mbaya sana,sio nzuri

Unakuwa nae kwenye mahusiano vizuri tu lakini umuombapo kitu labda hela kwa ajili ya matumizi,....hawezi kukupa hela inayoeleweka....,au hawezi kukuletea zawadi

Hasa kama mna mwezi hamjafanya mapenzi

Mwanaume eti anakupa hela inayoeleweka baada ya kumaliza kufanya mapenzi,au atakuletea zawadi muda huo anataka mfanye mapenzi
Ukipokea zawadi na bila kufanya...anakuwa hayupo happy

Wanaume hivi ukimaliza kufanya mapenzi....ndo unajua umuhimu wa mpenzi wako?

Kwa nini usimuhudumie mpenzi wako kwa asilimia mia hata kama hamjafanya mapenzi ndani ya mwezi mmoja?
Wanawake wa siku hizi mmegeuka ombaomba ndo maana hampati wa kuwaoa mnaishia kuchezewa tuu.
 
Pole sana kwa maumivu unayoyapitia but kumbuka mwanamke hata umthamini kiasi gani upendo wake nikama ua ambalo asubuhi hunawili jioni yake husinyaa sana
 
Kuna wanaume wengine,wana tabia mbaya sana,sio nzuri

Unakuwa nae kwenye mahusiano vizuri tu lakini umuombapo kitu labda hela kwa ajili ya matumizi,....hawezi kukupa hela inayoeleweka....,au hawezi kukuletea zawadi

Hasa kama mna mwezi hamjafanya mapenzi

Mwanaume eti anakupa hela inayoeleweka baada ya kumaliza kufanya mapenzi,au atakuletea zawadi muda huo anataka mfanye mapenzi
Ukipokea zawadi na bila kufanya...anakuwa hayupo happy

Wanaume hivi ukimaliza kufanya mapenzi....ndo unajua umuhimu wa mpenzi wako?

Kwa nini usimuhudumie mpenzi wako kwa asilimia mia hata kama hamjafanya mapenzi ndani ya mwezi mmoja?
realists tunasema"more you give,more you receive"
 
Hivi kabla ya kuwa na mahusiano na huyo mwanaume ulikuwa unaishije? Nani alikuwa anakupa pesa za matumizi yako ya kila siku? Kwahiyo ukiingia kwenye mahusiano maana yake kaz ya mwanaume ni kukuhuduumia wewe tuu? Hayo sio mahusiano huo ni unyonyaji uliokithiri. Ndio maana wanawake wengi hawajui mahusiano/mapenzi ni nini! Mwisho wa siku hata hamfiki mbali
Nakubali kuwa kwenye mapenzi kuna kupeana zawadi,kusaidiana kipesa. Lakini sio kugeuza ya kuwa ni wajibu wangu azilimia mia kukupa hdla za kujikimu,mimi sio baba ako,ni mpenzi. Ulivyokuwa unaishi kabla hujanipata mimi uendelee kuishi hivyohivyo,mie ntaongezea pale upendo wangu kwako utakaponitum na sio kuanza kunipa bili za gesi za umemem na maji pamoja na bili za kodi ya nyumba,nikijiskia kulipa nitafanya hivyo.nisipojiskia pia utatimiza wajibu wako. Kumbuka wewe bado ni mpenz na sio mke. Utakapokuwa mke ndio nitafanya wajibu wangu wote kama mume
 
Back
Top Bottom