Wanaume India walalamikia saizi ya Condom

Wanaume India walalamikia saizi ya Condom

yenyewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
621
Reaction score
94
Uchunguzi waonesha kuwa wanaume wengi nchini India hulalamika kuhusu saizi ya condom.
Hii inatokana na kuwa wanaume wa kihindi huwa na maumbile yenye urefu kati ya cm 3 na 5, wakati condom zizalishwazo kote duniani huwa ni za saizi moja yaani hazitofautiani urefu.

Source: Radio Free Africa

Swali: Je ipo haja ya wanaume wa kiafrika hususani Tanzania kuungana na wahindi kulalamikia tatizo hilo ili angalau zitengenezwe condom za saizi mbali mbali?
 
Basi wana tududu kama mbilimbili sasa
 
Kka hyo dimension kiuhalisia haiwezekan kuepo,, we uch wa cm jamny hata kushikika tuu atakua anashidwa,, may b ni inch
 
ndo maana hata movie zao ni kuimba kama wanawake tuu, hawana jipya, mm nashauri wazikate hata kwa wembe kulingana na saiz zao pamoja na mleta
 
3cm basi ya mtoto mchanga kubwa...uongo mwengine bhana
 
Then condom zikiwa na size tofauti wauzaji wanauwezo wa kujua team mandingo vs team vibamia
 
Nasikia dushe likizidi inchi 6 ni sehemu ya ulemavu. maana depth ya papuchi haizidi inchi 5.8
 
Inawezekana na wake zao papuchi zao hazina kina kirefu, pistoni ya treni mungu asingeiambatanisha na injini ya corola
 
Ni kweli wale Jamaa Ndude zao ndogo ndogo mno ! from EX-perience !
 
Mh....huyo mwenye EXperience ndo amesema bana...msikilizeni...atakayowafundisha na yashikeni.
 
sio lazima watumie kondom bhana, au wakazipunguze ziwe modo..

"nimefanya kila uhuni, adi kuvaa kondomu mlegezo" via stamina
 
Hahahaaaaa na wa sasa yukoje eti?

Wa sasa Husband kutoka Nyanda za juu kusini الحمد لله‎ Nashukuru Mungu kwa kweli ....Anakata kiu yangu
 
Back
Top Bottom