Wanaume inakuwaje hamridhiki na wake zenu?

Katavi

Platinum Member
Joined
Aug 31, 2009
Messages
41,041
Points
2,000

Katavi

Platinum Member
Joined Aug 31, 2009
41,041 2,000
Nimepotea chumba nini!! Nimeingia bila kusoma mlangoni, nilikuwa naenda chumba cha wageni........
 

mbasa

New Member
Joined
Nov 9, 2010
Messages
1
Points
0

mbasa

New Member
Joined Nov 9, 2010
1 0
Kwa uzoefu wangu naona kwamba hali hii inachangiwa hasa na wanawake wenyewe kwa njia ya kujijengea ukuta dhidi ya mume. wanafanya hivyo kwa kutokuwa na ushirikiano mzuri katika tendo la ndoa; mara atakwambia amechoka au hata kusema hasemi anakuangalia tu unavyohangaika kupata unyumba. mwishowe unafika mahali unaona bora ukjipumzishe pale penye huba. vinginevyo mtakuwa mnalalamikiana hadi urushe ngumi kitu ambacho hakifai.

sababu zingine ni kukosa kujua kwamba wewe ni mumewe hivyo mnapaswa wote mpeane unyumba kwa bidii na ufundi na nafasi ya kutosha! kama unafurahia onyesha kuwa unafurahia vinginevyo mume ataona kama yuko peke yake maana hutikisiki, hugeuki, huungi mkono jitihada za mwenzio. inakatisha tamaa.
wanawake wengi sana wanaoathiriwa na hili ni wale wanaofanya kazi na kiasi fulani wana kipato kizuri ambacho kinawapa kiburi kisicho na mpango hadi ndoa zao zinakuwa jina tu. Yaani zilishakufa siku nyingi!
 

Forum statistics

Threads 1,379,543
Members 525,452
Posts 33,748,503
Top