Wanaume huwa mnakosea hapa!

Wanaume huwa mnakosea hapa!

Kuchepukaa kunachangiwa sana NA hupuuziwaaa...Kwani unadhani Ni wanawake wote wanaochepuka wanafuata Dushelele tu sijui kubwaa sijui nn.No ..Jibu la hayo Just take care!!Kwa sababu Nina Uhakika Mpaka mwanamke anamkubalia mwamme anakuwa hajafunguliwa zipu kuona Kitu Bali Huvutiwa NA kujaliwa au Zile Technic za Mapenzi..mengine mbwembwe tu
Care matters a lot, kama anakufanya ujisikie malkia halafu umkute katulia kwanini usichepuke nae! Huyu anaekuona kama kidume chenzie ubaki kumsongea ugali na kumfulia tu
 
na mimi katika maisha napenda sana mpenzi wangu au mke wangu awe anachepuka na nigundue ili iwe rahisi kuachana nae.. sinaga muda wa kum'bembeleza mtu wakat wapo tele!
 
Ahsante bi mkubwa. .

Teh ila nikijipeleka kwa mkweo, siku ya kufukuzwa ntaanza kurushiwa zubeda langu kwanza. Kuna mtu kasema eti yeye anajenga nyumba, utaleta tu vitako vyako humo ndani hahaha daah
Hahahaaaaa!! Hatujakufukuza kipenzi, so u'll just come home. Ila mfilipino hawezi kukutimua na zubeda lako bwana!!!

Eti kuleta vitako vyako! Yani kuna mafurushi mengine ni yapite mbali tu kwakweli.
 
Nivumilie nini sasa?
Mwanaume anaweza kujitahidi kukuridhisha,lakini wewe ukiwa zero kwake..yeye atafanyaje..hata hivyo hawezi kukuridhisha kwa 100%...tujifunze kuridhika..tusitafute sababu ya kusariti..tushukuru kwa mapenzi tunayopata kwa wenza wetu,tuvumiliane...hayo mandungahembe ya nje mbona hayakufanya ndoa nasi..

Kingine..kuweni makini na hizo semina na filamu za kifilipino...zisiwapeleke kubaya na kuwa judge ndivyo sivyo wapenzi...shukuru kwanza kwa ulicho nacho...mwanaume kwa mwanamke.
 
Ndio nyie mnaomegewa coz mna mitazamp hasi
Sio mitazamo hasi Ukiwa na kibamia atasema unakibamia Ukiwa na muhogo mkubwa atasema yule jamaa ana muhogo mkubwa Ukiwa na hela atasema jamaa yangu anahela lakini hajui kunikuna vizuri Ukiwa unajua kukuna atasema ananikuna vizuri lakini hana pesa Sasa mnataka mpewe nini ndio mana nikasema hamliziki hamuishi sababu
 
Hii kwa wanawake wote kumbukeni kuwa unaposema mumeo wa ndoa hakulizishi Huko nje huyo huyo mumeo wanamsifia kuwa huko fiti Ushauri wangu mpende ulie nae mke/mume wala usimbeze matatizo ya falagha kaeni chini muyamalize nyie wawili tu over
 
Mwanaume anaweza kujitahidi kukuridhisha,lakini wewe ukiwa zero kwake..yeye atafanyaje..hata hivyo hawezi kukuridhisha kwa 100%...tujifunze kuridhika..tusitafute sababu ya kusariti..tushukuru kwa mapenzi tunayopata kwa wenza wetu,tuvumiliane...hayo mandungahembe ya nje mbona hayakufanya ndoa nasi..

Kingine..kuweni makini na hizo semina na filamu za kifilipino...zisiwapeleke kubaya na kuwa judge ndivyo sivyo wapenzi...shukuru kwanza kwa ulicho nacho...mwanaume kwa mwanamke.
Wacha we!!
 
Kwenye kumfungulia mlango hapo ndio balaa linapoanzia mtaani utaitwa mme bwege
 
Hahahaaaaa!! Hatujakufukuza kipenzi, so u'll just come home. Ila mfilipino hawezi kukutimua na zubeda lako bwana!!!

Eti kuleta vitako vyako! Yani kuna mafurushi mengine ni yapite mbali tu kwakweli.
eti mafurushi
 
Back
Top Bottom