mwenyeKitu
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 945
- 772
Tatizo haendi akakae huko....angeondoka kabisa tungejua mojaKama kuliwa nenda kaliwe tuuh! Pesa sitoi kwani itaisha??
Tatizo haendi akakae huko....angeondoka kabisa tungejua mojaKama kuliwa nenda kaliwe tuuh! Pesa sitoi kwani itaisha??
Cheka tu mwayaMecheka gafla...
Tena big mwaaaaah! Unajua mamii wengi tunapenda kujifunza kwa walioshindwa, na tunataka tushuhudie mabaya tu. Mtu akiona kwakwe kunaungua ana-assume na kwa wenzie ni vivyo hivyo. Akiona watu sanafuraha utasikia 'wanapretend' just kwakuwa yeye hana furaha.Mmmh hawa kina mfalme mswati wanatakaga mambo ya kumfanyia mkewe? Na hivi kuolewa ni favor hehe. Japo ndoa zote zina changamoto hatujui ya ndnai, ila Chris Na mkewe aah mwaah
Haha nimechekajeee.Tena big mwaaaaah! Unajua mamii wengi tunapenda kujifunza kwa walioshindwa, na tunataka tushuhudie mabaya tu. Mtu akiona kwakwe kunaungua ana-assume na kwa wenzie ni vivyo hivyo. Akiona watu sanafuraha utasikia 'wanapretend' just kwakuwa yeye hana furaha.
Haya mambo yanawezekana basi tu watu vichwa vimejaa ubinafsi,kutojitambua,ujuaji usio na maana na kujiendekeza tu.
Kazi unayo.Nakituliza kwa mume, nae akizingua mwendo ni ule ule.
Sio sana.Kazi unayo.
Kwahiyo maisha yako kama nani anavyofikiria?Maisha ni tofauti na mnavyofikiria.tena naweza sema wengi kama si wote wanawake mnaochangia hapa hamko katika ndoa. Nawashauri muwaulize wenzenu walioolewa maisha ya ndoa yakoje.
Umeolewa?Kwahiyo maisha yako kama nani anavyofikiria?
Maisha ya ndoa yanajengwa na nani?
Kwani kuna SI unit ya ndoa, kwamba lazima wote muishi kwa style fulani?Maisha ni tofauti na mnavyofikiria.tena naweza sema wengi kama si wote wanawake mnaochangia hapa hamko katika ndoa. Nawashauri muwaulize wenzenu walioolewa maisha ya ndoa yakoje.
Nashukuru umemaliza dota!! Kumbe kuolewa ni utumwa!! Maana nimeona naulizwa hapo 'umeolewa'!! Nikabaki najiuliza kumbe ndoa ndio balaa hivi!! Kuwa spoilled utakusikia tu redioni!Kwani kuna SI unit ya ndoa, kwamba lazima wote muishi kwa style fulani?
Huko ndoani ndo hamjali wake zenu? Kuwa na kauli nzuri kwa mkeo ni kitu kisichowezekana; kitakucost maisha? Just because hamuwafanyii wake zenu vitu fulani na fact kwamba hawalalamiki; doesn't mean kwamba hawatamani kufanyiwa mambo amazing. Kuna binadamu asopenda Kuwa spoiled, kupewa mahaba mazito mazito? Muachage huo u-alpha male
Alafu kwa wake zenu ndo mnalalamikaa wee, subiri mnavyojituma kwa michepuko sasa. Mnanishangaza mnoo ( teh sijakusema wewe though)
HS umeongea maneno mazito sana.lakini labda nikwambie kwamba katika ndoa wapo wanaofurahia na wapo wanachukizwa kutokana na cultural backgrounds. Ndoa zinaendandana na desturi ,mila, utamaduni,dini na mengi kama hayo. Inawezekana wewe ukaona nakunyanyasa lakini kwa mwenzio akaona ni sawa. Otherwise masuala mengine ni mambo ya kawaida tu hata wanawake huyafanya na waume tukanyamaza kimya.lakini haimaanishi kuwa tunanyanyasika Bali tunatapuuzia.kuepusha migogoro zaidi.Kwani kuna SI unit ya ndoa, kwamba lazima wote muishi kwa style fulani?
Huko ndoani ndo hamjali wake zenu? Kuwa na kauli nzuri kwa mkeo ni kitu kisichowezekana; kitakucost maisha? Just because hamuwafanyii wake zenu vitu fulani na fact kwamba hawalalamiki; doesn't mean kwamba hawatamani kufanyiwa mambo amazing. Kuna binadamu asopenda Kuwa spoiled, kupewa mahaba mazito mazito? Muachage huo u-alpha male
Alafu kwa wake zenu ndo mnalalamikaa wee, subiri mnavyojituma kwa michepuko sasa. Mnanishangaza mnoo ( teh sijakusema wewe though)
Me naamini kwenye mahusiano hakunaga ku "complete" each other, bali kuna ku "balance". Mmezaliwa tofauti, mmelelewa tofauti, mmekuwa exposed kwenye mazingira tofauti na baada ya kujitambua, kila mtu alifanya choices zake, so sitegemei watu mfananane kwa kila kitu. Sasa kwenye mahusiano lazima ujifunze kusacrifice, lazima ujifunze kucompromise, lazima ujifunze "kumbebea" mwenzako mapungufu yake. Kwa sababu tuna backgrounds tofauti, doesn't mean kila mtu astick na background yake. Kuna baadhi ya vitu lazima uvibadilishe ili muende sawa na mahusiano yenu. Ukiona haka kakitu kataboresha mahusiano yetu, si unaka-adapt tu, kama si kitu kibaya wala cha kuzidi uwezo wako. Yes kuna vitu me naweza nikawa napenda mwenzangu anifanyie, ila yeye havifanyi maybe. Sitolalamika au kununa maybe, but it doesn't change the fact kwamba navitamani na nikifanyiwa kwa kweli tumahaba tutanoga zaidi tu lol. Kwenu hamna background ya kusema "Ahsante", mkeo hatopigana usipomwambia "Ahsante", Ila ukijifunza kumwambia "Ahsante", utaona mwenyewe mambo yatakavyonoga zaidiHS umeongea maneno mazito sana.lakini labda nikwambie kwamba katika ndoa wapo wanaofurahia na wapo wanachukizwa kutokana na cultural backgrounds. Ndoa zinaendandana na desturi ,mila, utamaduni,dini na mengi kama hayo. Inawezekana wewe ukaona nakunyanyasa lakini kwa mwenzio akaona ni sawa. Otherwise masuala mengine ni mambo ya kawaida tu hata wanawake huyafanya na waume tukanyamaza kimya.lakini haimaanishi kuwa tunanyanyasika Bali tunatapuuzia.kuepusha migogoro zaidi.
Wanaoshikilia Dunia Ni Wanawake..Mkeo anaweza akaamua uishi au usiishi.Kumbuka anapiga Chakula chako.Take care just be humble
Weekend nahamishia zubeda langu kwa benny, after six months ntakuwa nimeshaolewa tayari, ntachangia comments vizuri sasa lol. Sitaki ujinga mimi, si anajifanya hataki kuja home tehNashukuru umemaliza dota!! Kumbe kuolewa ni utumwa!! Maana nimeona naulizwa hapo 'umeolewa'!! Nikabaki najiuliza kumbe ndoa ndio balaa hivi!! Kuwa spoilled utakusikia tu redioni!
Na aje tu atupe hiyo SI Unit ya ndoa ili tujiandae kisaikolojia kabisa!!