Wanaume huwa mnakosea hapa!

Wanaume huwa mnakosea hapa!

Nifanye yote hayo alaf akachepuke daaah inauma sana hakika nitajitahidi kumuongezea jina rip
 
Nina kichwa chepesi sana kusoma na kuelewa vitu, kufaulu kwa haraka zaidi!
But ukija ktk relationship, Daah Mwanamke ni Complex Machine!
Wapo waliojitolea mpaka kuwasomesha, I mean anamsomesha mke wake wa ndoa, bado Mwanamke anakamuliwa Chuo,
sitaki kusema sana,
But Ushauri wangu: Usijioneshe kama vile unampenda mwanamke kupita kiasi, usijioneshe eti wewe ni mpole na you care too much,
Wanawake wengi wanapenda wanaume wasioeleweka sana, hususani tabia. Siyo Tabia mbaya wala nzuri, siyo mcha Mungu wala siyo mpagani, Sijui kama unaelewa.
Being nice guy, utaumizwa sana. We have done a lot in relationship!
***Biblia inasema kila tufanyalo tufanye kwa kiasi***
 
Kwenye kumfungulia mlango hapo ndio balaa linapoanzia mtaani utaitwa mme bwege
Ndo tatizo lenu wengi, mnashindwa kufanya vitu kwa ajili ya kuboresha mahusiano yenu kisa majirani wataniona bwege. Ulioa kuwaimpress majirani zako au uliwaolea wao? Mkiwa vijiweni mnajitutumua "me mwanamke siwezi kumfanyia hiki", mnatiana maujinga wee while kila mtu akirudi kwake ana style yake ya maisha. Ukiwa zwazwa utashangaa kila siku Ndoa yako inaendelea kujifia, afu mwenzio mnayedanganyana yupo busy na mkewe wanacheka. Mwanaume mjinga. .............
 
Mwanamke unaweza mfanyia yote hayo na bado akaliwa kibonga na mwanaume mjinga mjinga tu ni kwanini siamini kama hizo sababu zako zinajitosheleza kumfanya mwanamke asichepuke
 
Ndo tatizo lenu wengi, mnashindwa kufanya vitu kwa ajili ya kuboresha mahusiano yenu kisa majirani wataniona bwege. Ulioa kuwaimpress majirani zako au uliwaolea wao? Mkiwa vijiweni mnajitutumua "me mwanamke siwezi kumfanyia hiki", mnatiana maujinga wee while kila mtu akirudi kwake ana style yake ya maisha. Ukiwa zwazwa utashangaa kila siku Ndoa yako inaendelea kujifia, afu mwenzio mnayedanganyana yupo busy na mkewe wanacheka. Mwanaume mjinga. .............
Natamani kumalizia hapo ila naogopa ban!!
 
Wangejitambua hivyo maisha yangekuwa burudani zaidi yaani
 
Ndo tatizo lenu wengi, mnashindwa kufanya vitu kwa ajili ya kuboresha mahusiano yenu kisa majirani wataniona bwege. Ulioa kuwaimpress majirani zako au uliwaolea wao? Mkiwa vijiweni mnajitutumua "me mwanamke siwezi kumfanyia hiki", mnatiana maujinga wee while kila mtu akirudi kwake ana style yake ya maisha. Ukiwa zwazwa utashangaa kila siku Ndoa yako inaendelea kujifia, afu mwenzio mnayedanganyana yupo busy na mkewe wanacheka. Mwanaume mjinga. .............
Sasa usipofunguliwa mlango ndio upunguze mapenzi kwa mume wako...na ndoa iyumbe??? Uvichwa maji huo...mwanamke anapaswa kuwa na hekima,asipokuwa na hekima..hata akifanyiwa hayo kazi bure...usidanganyike...tafuta hekima..usitafute kudekezwa hivyo..hivyo ni vitu vya ziada na vidogi vidogo tu..msingi ni hekima
 
Wewe naweee. Umesoma ukanielewa vizuri? Uliona kuna mtu anapigana kisa hajafunguliwa mlango? Na Ukimfungulia mlango mkeo unapungukiwa na nguvu za kiume au? Kwa michepuko tunawaonaga mnavyokuwa mnajitutumua kama mmepewa kinyama cha nanhii vile

Hivyo vitu vidogo vidogo vya kipuuzi ndo vinavyonogesha mahusiano sasa. Ujifunze ukaanze kumfanyia mkeo na wewe. Kwa hiyo ukiwa na hekima ndo unakuwa hupendi kudekezwa? Na me nakupa hekima mpya Leo, mspoil mkeo kadri uwezavyo, sawa?

#Littlethingsmatterthemost#
 
Wewe naweee. Umesoma ukanielewa vizuri? Uliona kuna mtu anapigana kisa hajafunguliwa mlango? Na Ukimfungulia mlango mkeo unapungukiwa na nguvu au? Kwa michepuko tunawaonaga mnavyokuwa mnajitutumua kama mmepewa kinyama cha nanhii vile

Hivyo vitu vidogo vidogo vya kipuuzi ndo vinavyonogesha mahusiano sasa. Ujifunze ukaanze kumfanyia mkeo na wewe

#Littlethingsmatterthemost#
Unaonaje na wewe ukamfungulia mmeo..mbona na yeye atafurahi tu.
 
Mwanamke kutoka lnje tabia ya mwanamke wapo wanaopewa huduma zote lakini bado wanatoka
 
Unaonaje na wewe ukamfungulia mmeo..mbona na yeye atafurahi tu.
Teh me na mume wangu Benny tunajulikana humu kwa ufilipino. Mahaba yetu sio ya ulimwengu huu, yani sio ya sport sport. Sasa zile raha nazopata ndo nawish na wenzangu nao wazipate, sinaga roho mbaya me, kizuri nakula na wenzangu. So please, em anza Leo kumfanyia mkeo mambo fulani hivi amazing, sawa? Mke ni mwili mwako, em ujali mwili wako basi
 
Wewe naweee. Umesoma ukanielewa vizuri? Uliona kuna mtu anapigana kisa hajafunguliwa mlango? Na Ukimfungulia mlango mkeo unapungukiwa na nguvu za kiume au? Kwa michepuko tunawaonaga mnavyokuwa mnajitutumua kama mmepewa kinyama cha nanhii vile

Hivyo vitu vidogo vidogo vya kipuuzi ndo vinavyonogesha mahusiano sasa. Ujifunze ukaanze kumfanyia mkeo na wewe. Kwa hiyo ukiwa na hekima ndo unakuwa hupendi kudekezwa? Na me nakupa hekima mpya Leo, mspoil mkeo kadri uwezavyo, sawa?

#Littlethingsmatterthemost#
Hahahaaaa!! Dota nakugawa!
 
Teh me na mume wangu Benny tunajulikana humu kwa ufilipino. Mahaba yetu sio ya ulimwengu huu, yani sio ya sport sport. Sasa zile raha nazopata ndo nawish na wenzangu nao wazipate, sinaga roho mbaya me, kizuri nakula na wenzangu. So please, em anza Leo kumfanyia mkeo mambo fulani hivi amazing, sawa? Mke ni mwili mwako, em ujali mwili wako basi
Mme ni mwili wa mke pia...mfanyie na wewe pia..na yeye anataka hiyo care..na uzuri ni kwamba ukimfanyia yeye once,yeye atakufanyia twice...you are the queen and He is the King...you want him to be your servant...be servants to each other...sio mnalilia hapa wakati hamufanyii waume au wapenzi wenu yale mnayotaka kufanyiwa na wao.
 
Teh me na mume wangu Benny tunajulikana humu kwa ufilipino. Mahaba yetu sio ya ulimwengu huu, yani sio ya sport sport. Sasa zile raha nazopata ndo nawish na wenzangu nao wazipate, sinaga roho mbaya me, kizuri nakula na wenzangu. So please, em anza Leo kumfanyia mkeo mambo fulani hivi amazing, sawa? Mke ni mwili mwako, em ujali mwili wako basi
Huyu dogo kilaaaaa kitu anataka haki sawa na wanawake, imebaki aombe kunaniliwa tu!!
 
Back
Top Bottom