Wanaume huwa mnakosea hapa!

Wanaume huwa mnakosea hapa!

Helooooooo!
Wanajamvi natumai mu wazima wa Afya njema.
Twende moja kwa moja kwenye Mada.Ni kwamba kwa utafiti niliofanya kwa Muda mrefu Sasa.Kuhusu hii kitu inayoitwa USALITI.

Asikwambie MTU..Wanaume walio wengi Wapo Radhi kutoa Uhai wa MTU Hata kujeruhi wanapoona mpenzi au mke Kasaliti.

Huumia sana..NA Ni wagumu kusamehe jambo hili likitokea tofauti kidogoo NA jinsia ya kike.Sasa Cha ajabu Wanaume hao hao wengi wao hawazingatii factors zinazopelekea Usaliti..

Yaani wanapuuzia mambo madogo sana kwa wake au Wapenzi wao.Sasa Enyi Wanaume mkitaka Vitumbua vyenu viwe safe NA Mmiliki wenyewe kwa kiasi kikubwa Basi Ni lazima Kuzingatia yafuatayo.

1.Jitahidi kadri unavyoweza kujua kwa mwezi mzima mkeo au mpenzi wako anahitaji nini au Budget yake ni Kiasi gani .NA kama una mke/ mpenzi mwenye kufanya Kazi au biashara Si vibaya ukamuongezea pale.Mfano Ndani ya mwezi ni kawaida mke au mpenzi kusuka mtindo wowote wa nywele au kama Si mpenzi wa kusuka Ataenda salon au mafuta ya kulainisha nywele au vyovyote jua Budget yake MPE au muongezee.Pia jari muonekano wake kwa mavazi mafuta ya kupaka vitu kama perfume ,lotion, Viatu Japo Sio lazima iwe kila mwezi.Je Viatu vya kazini vimeisha au Kuna ulazima Nunua..Pia Nguo Hata za mitumba zipo kwa Mara chache.Onyesha careness.

2.Kauli ..kuwa NA lugha ya ushawishi penda jokes sometimes penda kuupuuzia baadhi ya mambo Sio kila kitu ukishadadiee.Muelewe mpenzi wako .Pia Ni vizuri kujua weakness NA strengh za mke/ mpenzi wako itasaidia kupunguza misuguano isiyo ya lazima.

3.Mfanye awe Malkia wa Dunia yako..Mfano mnatoka mkiwa NA Usafiri wenu asijifungulia Gari..nenda upande wa Siti yake mfungulie akae.Halikadhalika mtakapoenda kaa kama Ni Sehemu ya kustarehe akae Yeye kwanza Yaani Lady First.!!

4.Wai kurudi Nyumbani..ukichelewa au.kama utapitia mahali just let her know..Mfanye aone Yeye Ndo kila kitu.NA Watu wanaowazunguka watambue hivyo kwa kuona matendo.

5.Jari hisia zake..Mfano ana lalamiko mwache aongeeee yote MPE ushauri Kuna mahali kakosea usimfokee mbele za watu nenda naye Chumbani mkanye muonye Huyo Ni Mtoto wako wa kwanza.Ukimkanya kwa Upendo Ataona Aibu NA Atajirekebisha tu.
Sasa Ninyi Wanaume huwa mnapuuza yote hayoo au huwa mnayafanya kwa kipindi cha chumba au Mwanzo wa mapenzi.Hali inayopelekea Mwanaume mwingine kuingilia Kati NA kuwamegea VITUMBUA vyenu.

Mnaanza kuapiza kuua sijui Visasi.Kumbe Makosa.mnayafanya ninyi.Believe me or not..mwanamke ana hulka ya Asili Asipojaliwa Ni Rahisi sana Kurubunika Msela wa Mtaa au mpuuzi mjinga mjinga mmoja anaweza Akammega mpenzi wako au mkeo wa Nywele tu ya Elfu 40.Kumbe ungejua Budget yake ukaokoa Mali zako zisichezewe.Wapo wabishi but jueni kwa Ununda wenu Kwa kujifanya kwenu Wabahili wapenzi wenu Mnao Lakini wanamegwa Daily na Hamtajuaaaa!!!kwa kuwasaidia nimewapa Hints za Kuepusha hayo Majanga.

Amini usiamini Wanaume wengi huchangia Mwanamke kuchange Tabia na kuamua Liwalo na liwe.Badilikeni iyo itafanya positive Behavior itokee upande wa pili.Una wivu huku hujui kutake Care???Just Change guys.You have that power!!!
Ahsante kwa kushare ndoto zako, umba mtu wako tu
 
Stop being a pussy man! Utafanya yote hayo na kama mkeo ni slut atatombwa tu. Wanawake hutafuta kisingizio chochote to justify their indiscretions. Inawasaidia kisaikolojia kufunika machungu ya usaliti wao. Usiwe bwege, be a man, stand your ground, take care of business but never revolve your life around some piece of puss utachanganyikiwa. Weka misimamo yako na timiza wajibu kama mwanaume the best way u know how to. Ila kamwe usiruhusu dira yako iongozwe na mwanamke. Hawachelewi kubadilika hawa. Narudia tena, mwanamke mzinifu akiamua kuvua chupi atavua tu hata ufanye nini.
 
Theory ya mahusiano ni rahisi sana kila mtu anafaulu, njoo kwenye practical ndo balaa.
Hayo yote uliyoandika unaweza kufanya na bado ukamegewa tu cha msingi umpate mwanamke ambaye kashakubali kua na wewe bila kujali hali
Very well said
 
Yaani wanapuuzia mambo madogo sana kwa wake au Wapenzi wao.Sasa Enyi Wanaume mkitaka Vitumbua vyenu viwe safe NA Mmiliki wenyewe kwa kiasi kikubwa Basi Ni lazima Kuzingatia yafuatayo.

Kumbe ni kuwa na majority shares pekee sio total ownership!??
 
Weekend nahamishia zubeda langu kwa benny, after six months ntakuwa nimeshaolewa tayari, ntachangia comments vizuri sasa lol. Sitaki ujinga mimi, si anajifanya hataki kuja home teh

Honestly sielewagi mtu akiniuliza "umeolewa" kwa sababu ya comment yangu. Hakuna formula ya mahusiano kwamba wote mtaishi kwa style fulani ndoani. Hatujaolewa yes, but ndo tunajenga misingi ya ndoa zetu now. Hatuwezi kuyajua ya ndoani yote kwa sababu hatupo kwenye hizo ndoa, but na sisi tuna mahusiano tunayoyaendesha kwa style yetu. Na ndo msingi wa ndoa zetu hapo baadaye. Plus tumezungukwa na wanandoa, kuna vitu vizuri ambavyo wanavifanya, so sidhani kama hatuna haki ya kumshauri mtu fanya hivi simply because hatuna ndoa

Teh ukisoma baadhi ya comments humu, unaweza kukata tamaa ya ndoa kabisa, maana it's as if ni utumwa. But hatuna sababu ya kuogopa wala kukata tamaa, coz tuna uwezo wa kutengeneza aina za ndoa tunazozihitaji sisi. So far hatutolazimishwa kuishi kama wanandoa wengine wanavyoishi.
Na ubebe tu maana ndio mfilipino atakaekufaa, hawa wengine naona walilelewa kuwa mahusiano ni ya mwanamke tu so kuwaspoil wake zao ni ndoto za alinacha.

'Mahusiano' yanajengwa na wawili na lazima yawe two way trafik, ukiona unatoil ila mwenzio hata habari hana jua hayo sio 'mahusiano' iwe ni ndoani au sio ndoani. pamoja na kuwa tamaduni kutofautiana tunabaki kuwa wote ni binadamu, so kuna vitu bado viko comon among us, ila pia kwani ile kusomana na kujuana vizuri kwani huwa inafanyika ili iweje???

Tusiwe na mawazo hasi tuuu, as if kuna only way kwenye ndoa na lazima kila mtu aifuate hiyo, just beacause yako imebuma it daznt mean kuwa zote zimebuma, na ikibuma ni nyie wawili ndio mmechangia. Watu tujifunze kuwa positive sio kukatishana tamaa tu.
 
3.Mfanye awe Malkia wa Dunia yako..Mfano mnatoka mkiwa NA Usafiri wenu asijifungulia Gari..nenda upande wa Siti yake mfungulie akae.Halikadhalika mtakapoenda kaa kama Ni Sehemu ya kustarehe akae Yeye kwanza Yaani Lady First.!!
nilipofika hapa nikaacha kusoma.
this is 2016, you open the car door by yourself, and doesnt matter who sits first.

Nimejenga nyumba nikachukua vitako vyako nikaviweka ndani, nimenunua gari ukakalisha vitako vyako kwenye siti, hela nnazopata nakupa ukasafishe nywele usuke rasta na kununua chupi mpya za kufunika vitako vyako..

women, be like servants and treat your man like a King
 
Wanaume tuna majukumu mengi... et hili nalo kiruuuu...

Ndo maana cheti cha ndoa na graduation inafanyika ndo mwende chuo cha ndoani... wahenga walikuwa na logic hapa.. walijua hamna ma desa ya ndoa wala formula... na ndo maana hata kwenye misahafu walisema tuishi nao kwa akili lasivyo lengo la dunia litabadilika

Shukran kwa mtoa mada katufungulia sehemu za kujidai
 
"Ni kwamba kwa utafiti niliofanya kwa Muda mrefu Sasa.Kuhusu hii kitu inayoitwa USALITI."

Sample size?
 
Na ubebe tu maana ndio mfilipino atakaekufaa, hawa wengine naona walilelewa kuwa mahusiano ni ya mwanamke tu so kuwaspoil wake zao ni ndoto za alinacha.

'Mahusiano' yanajengwa na wawili na lazima yawe two way trafik, ukiona unatoil ila mwenzio hata habari hana jua hayo sio 'mahusiano' iwe ni ndoani au sio ndoani. pamoja na kuwa tamaduni kutofautiana tunabaki kuwa wote ni binadamu, so kuna vitu bado viko comon among us, ila pia kwani ile kusomana na kujuana vizuri kwani huwa inafanyika ili iweje???

Tusiwe na mawazo hasi tuuu, as if kuna only way kwenye ndoa na lazima kila mtu aifuate hiyo, just beacause yako imebuma it daznt mean kuwa zote zimebuma, na ikibuma ni nyie wawili ndio mmechangia. Watu tujifunze kuwa positive sio kukatishana tamaa tu.
Ahsante bi mkubwa. .

Teh ila nikijipeleka kwa mkweo, siku ya kufukuzwa ntaanza kurushiwa zubeda langu kwanza. Kuna mtu kasema eti yeye anajenga nyumba, utaleta tu vitako vyako humo ndani hahaha daah
 
kweli kabisa, mwanaume yuko busy kushangaa kwanini mwanamke wake kabadilika tabia,badala atafute kitu kilichompelekea mwanamke huyo kubadilika
 
Back
Top Bottom