- kANA -
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 4,090
- 10,562
Naona umeamua kunihukumu bila ushahidi.Lakini kuna basic ambazo zinakuwa ni kipaumbele cha wengi, na kwa hapa nimeona chura.
Habari ya kupotea?
[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Naona umeamua kunihukumu bila ushahidi.Lakini kuna basic ambazo zinakuwa ni kipaumbele cha wengi, na kwa hapa nimeona chura.
Ataikuta kwangu tafadhari, awe na chura lain, rangi ya kuvutia, shape!! hayo mengne tutaelezana taratbuuUzuri wa mke si sura ni tabia.
nakufollow tu sweetlee ndo kwanza nimetoka Insta nikaulizia nikaambiwa ulipita tu ukitokea FB kumbe ulikuja huku!Kweli kabisa. Ila hapa kwa uzi wengi ni wowowo
Na ukikutana na washikaji zako wakati wa kutambulisha ukaona wanashangaa lazima umalizie kuwa "ana tabia nzuri" ili kuondoa wasiwasiUzuri wa mke si sura ni tabia.
Mh!Hahahaaaaa!!
MOTP mie mzima wa afya kabisa, sijapotea nimejaa tele!
Kipi kinachoshindikana?Kuna wa kunificha kweli!!!
Romour has it that we have a little one!Kufichwa.
HongeraHahahaaaaa!!! Mmeniongezea mwingine wa pili baada ya yule kukua sasa!!
Sita itapendeza!Asante sana jamani. Mna mpango wa kunipa wangapi?
Haina shida kabisa!Hahaaa!! Si mtanisaidia kulea pia?