Wanaume, heshimuni urafiki hii sio Sawa

Ungeliwa vibaya sana binti, mtu anakwambia eti uende ukapaone kwake usiku na ww unaenda [emoji1787]

Nilimuamini kwasababu niliona ana aminika halafu alisema tu upite upaone na Mimi sikutaka kukaa sana hata nusu saa haikuisha nikasema sio vizuri kukaa zaidii nisimtie majaribuni kaka wa watu niondoke ila yeye akaona kapata chaka
 
Na angefanikiwa mukaja kuwa wapenzi siku ya ndoa unreported tulianza kama marafiki date your friend.
 
Kumbe ulijua kuna majaribu?
 
Na angefanikiwa mukaja kuwa wapenzi siku ya ndoa unreported tulianza kama marafiki date your friend.

Haiwezekani mimi na yeye kuwa wapenzi ( nilishawai kuwa na uhusiano na ndugu yake japo sio ndugu yake in such
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…