UrbanGentleman
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 2,584
- 1,886
Ukweli vs uwongo kujua ni rahisi mno.. Muda tuWengi wao wana matendo ya kuigiza waweza kujua ni kweli.
Ukweli vs uwongo kujua ni rahisi mno.. Muda tuWengi wao wana matendo ya kuigiza waweza kujua ni kweli.
Ka wewe ndo uyo wa kwenye avatar, nipo radhi kubadili dini iwapo utakubali nikuoe.Wakivaa madera na kujisitiri hamuwataki mnasema wazee oooh washamba sasa jema lipi kwenu wanaume?
Wanaowaita Washamba Ni Wavulana, Sio Wanaume.Wakivaa madera na kujisitiri hamuwataki mnasema wazee oooh washamba sasa jema lipi kwenu wanaume?
ExcellentBahati mbaya au nzur wewe bwana Huijui ndoa unajilopokea tu kwa Kudhihaki upande wa wanawake ndoa ni zaidi ya mavazi/kujisitiri kwa mtu! Hakuna aliyezaliwa yuko timamu wengi hujifunza kutokana na mahitaji na mienendo ya watu wetu wa karibu na tunaowapenda, binafsi nililelewa kwa Uhuru wa kuvaa ila nilipompata mwenza wangu niligundua kuna vitu hapend nivae na alikuwa muwazi wa kunionyesha kwa vitendo, anakupeleka dukan kila ukichagua vazi lililokinyume na yeye anakataa analiponda kuwa hupendez, kwa kuwa mwanamke anataka kusifiwa na mumewe bila shaka siku hadi siku atakua anavaa vile ambavyo mpenziwe husema amependeza !! La muhimu usimuoe mwanamke mwenye tabia za hovyo japo anajisitiri mpaka ukucha! Usioe mwanamke mbishii,asiye mtii,mwenye kiburi visasi na chuki! Eti kisa ni mzuri au anavaa mavazi uliyoyaandika hapo
Ndoa ni zaidi ya unavyoona wewe, ukimpenda mtu mlete karibu chukua nafasi ya kum shape aendane na matakwa yako
"Women with beauty and no brains, it is your private parts that will suffer the most."
hayo ni maneno ya mzee Mugabe



We jistiri tu ukivaa nusu uchi tunakuona nauza kifacho ni one ngt standWakivaa madera na kujisitiri hamuwataki mnasema wazee oooh washamba sasa jema lipi kwenu wanaume?
Tatizo wanajifanya vichaa, lakini ukweli wote wanaujua haouzi mzuri STUNTER . kuna ukweli mkubwa ndani ya hili. nashangaa Lady aJ umechachamalia kutetea ujinga.maziwa na makalio sio vitu vya kuonyesha hovyo kila mtu aone.hivyo vitu ni faragha,sasa kama wewe uliolewa pamoja nakuwa unavaa hovyo usipotoshe wengine.ndiyo samataimu utabahatika kupata mwanaume atakae kurekebisha. nikuulize swali moja.kama kweli kuvaa kwa kuonyesha matiti na matako ni sawa je unaweza kwenda kwa wakwe zako ukiwa umevaa hivyo? ukiweza kujijibu hapo mwanamke naamini jibu la uzi huu utakuwa nalo
huyu jamaa kapewa maneno mengi sana kuwa kasema yy"Women with beauty and no brains, it is your private parts that will suffer the most."
hayo ni maneno ya mzee Mugabe
Hata mie nataka aniambie iyo Tanga sehemu gani maana nipo Tanga mwaka wa 5 huu na sijasikia hicho kituTanga sehemu gani huko tukatalii??
Basi hukunielewa nilichomaanisha na huyo mumeo ana kazi kubwa sana maana Mmh!Ni mwerevu ndio maana najitambua sivai onvyo
Kwann uvae vimodo huku unakiili kichwani. Vimodo na vitop wanavaa akina nani?Basi hukunielewa nilichomaanisha na huyo mumeo ana kazi kubwa sana maana Mmh!
Shortly nilimaanisha kuwa unaweza muoa mtu anajifunika kuanzia kichwan hadi unayoni lakini ni mbishi mgomvi na mtaka Shari, empty brain lakini ukampata mtu ambae ana rekebishika mvaa skin jeans vitopu na vipedo lakini kichwani zimo mwelevu mpenda maendeleo n.k huyu ndio mke pamoja na mapungufu ya mavazi aliyonayo lakini ana rekebishika Mwanaume anaweza akamrekebisha kwa namna yoyote anayoitaka kuanzia mavazi mpaka mambo mengine watu huwa Hawaoi kwa muonekano wanaoa Tabia hasa tabia njema yenye usikivu ndani yake kama mumeo kakuoa kwa kuvaa kwako baibui tu basi jua ana hasara kubwa sana
Sitetei ujingauzi mzuri STUNTER . kuna ukweli mkubwa ndani ya hili. nashangaa Lady aJ umechachamalia kutetea ujinga.maziwa na makalio sio vitu vya kuonyesha hovyo kila mtu aone.hivyo vitu ni faragha,sasa kama wewe uliolewa pamoja nakuwa unavaa hovyo usipotoshe wengine.ndiyo samataimu utabahatika kupata mwanaume atakae kurekebisha. nikuulize swali moja.kama kweli kuvaa kwa kuonyesha matiti na matako ni sawa je unaweza kwenda kwa wakwe zako ukiwa umevaa hivyo? ukiweza kujijibu hapo mwanamke naamini jibu la uzi huu utakuwa nalo
Ndo unipe ufafanuz kuwa ni sehemu gani imeandikwa kuwa vimodo na vitopu wameumbiwa watu fulani au ni maamuziKwann uvae vimodo huku unakiili kichwani. Vimodo na vitop wanavaa akina nani?