Wanaume hatuoi ujinga

Wanaume hatuoi ujinga

Ni kweli, lakini
1. Unapozungumzia njia za matangazo zisizo rasmi nayo ni shida.....
2. Unatangaza kwa njia inayoondoa uwezekano wa kuolewa ni shida
3. Unatangaza kwa njia ya kutia watu ashki lakini si kuolewa ni shida

mtu anayetaka kuolewa namna yake yan kujitangaza ni hii
1. Ucha Mungu
2. Heshima kwa binadamu wenzio
3. Kuthamini maisha ya wenzio na mali zao
4. Tabia njema
5. Kupenda positive maendeleo...

Ngalikihinja hao wanajitangaza katika namna ya kwanza wako kibiashara zaidi!
Ikitokea muoaji anayependezwa na sifa za kibiashara pia nae haachwi!

Namna ya pili ni kwa wale wasio kibiashara, waliolelewa kimaadili na waliotayari kuingia ktk maisha ya ndoa!
 
Kama hukusoma vyote huna haja ya kunijibu sasa wanijumibu kama si ukihele hele wako? Alafu usijitie unajua eti kwenye interview sijui na makorokocho gani huko kila aina ya kazi inawatu wake inaowahitaji kwa kimuonekano wake sio kila kazi inataka waombaji wenye kuvaa mabaibui wengine hawaitaji huo upupu uliouandika, alafu jifunze kumuelewa mtu unaweza ukawa na mwanamke anavaa hadi nikabu lakini ni fuska balaa and ukakutana na bidada anapiga trouser yake fresh then akawa na muaminifu SIKU NYINGINE USIKURUPUKE KUNIJIBU KAMA HUJAMALIZA KUSOMA COMMENT YANGU
Bado hatuoi ujinga sijui kama umemuelewa mtoa maada
 
Jacquline Ntuyabaliwe, Faraja Nyalandu,Flaviana matata, Modester Mahiga HAWA WOTE TUMEWASHUHUDIA HADHARANI WAKIVAA VICHUPI, WAKIVAA PEDO,WAKIVAA SKIN JEANS,WAKIVAA VIPEDO VITOVU NJE, WAKIVAA MIN SKIRT, NA HATA BIKINI, KWENYE MEDIA NA STEJINI NA HATA MITAANI LAKINI WAMEOLEWA NA LEO HII WANA APPER VILE WAUME ZAO WANAPENDA NA KUTAKA,SO STOP FOOLING UR SELF UTAVAA BAIBUI WEE MPAKA UFANANE NALO RANGI NA NDOA UNAWEZA USIIPATE, U SMART WA MTU UPO AKILINI MWAKE
Toa mfano tofauti na hao models
 
Toa mfano tofauti na hao models
Kwani hao sio wanawake? Unavyodhani hao matendo yao hayakuwachefua wanaume vihiyo kama hawa wanaoongea Mbofu mbofu? Nikikutajia chakubimbi wa mtaan kwetu utamjua? Mifano hutolewa kwa watu wanaojulikana Modester Mahiga si Model ni mwanamke kama alivyo mwanamke mwingine yeyote Tanzania
 
Bado hatuoi ujinga sijui kama umemuelewa mtoa maada
Only Bright man ndo watajua watazingatia nini kwenye kuchagua mke! Na watafanya nn kuwafanya wake zao au Girlfriend zao waishi sambamba na maadili ayatakayo
 
Kwani hao sio wanawake? Unavyodhani hao matendo yao hayakuwachefua wanaume vihiyo kama hawa wanaoongea Mbofu mbofu? Nikikutajia chakubimbi wa mtaan kwetu utamjua? Mifano hutolewa kwa watu wanaojulikana Modester Mahiga si Model ni mwanamke kama alivyo mwanamke mwingine yeyote Tanzania
Modester mahiga umeshawahi kuwa na ukaribu nae ata kidogo unajua alipokulia au mbwembwe hahaha hatuoai ujinga
 
Only Bright man ndo watajua watazingatia nini kwenye kuchagua mke! Na watafanya nn kuwafanya wake zao au Girlfriend zao waishi sambamba na maadili ayatakayo
Kweli ndio mana ata wewe hukuwai kuanika matiti yako wala nyeti zako
 
Modester mahiga umeshawahi kuwa na ukaribu nae ata kidogo unajua alipokulia au mbwembwe hahaha hatuoai ujinga
Mbwe mbwe za mama yako! Mwanamke shurti awe na mbwembwe mkuu,,Modester nilimfahamu kwa kumuona kama unavyomuona wewe, na ikiwa kumuona kwangu kwenye public ndipo kulipata nguvu ya kujua kuna WANAUME na viwanaume uchwara ambavyo wao suala La kuponda mwanamke ni jambo la kuamua tu kama muanzishaji wa uzi huu hajawahi ona mema ya wanawake katika thread zake karibu zote
 
S
Mwanaume akikusifia kwa kutembea nyonyo nje, nyie mnaita boobs na makalio yakishika nguo uliyovaa ukisema unaenda na wakati huwa na nia
moja tu, KUKUMEGA, KUKUCHAPA, na KUKUSHIKISHA ADABU KITANDANI, na Sifa zitaishia hapo.

Hakuna mwanaume SIRIAZ anayeweza kukubali kuoa mwanamke asiye SIRIAZ. Mwanamke anayeweza kuacha nje MALI ambazo ni FAHARI ya mumewe zionwe na kila Mwanaume. Nionyeshe Mwanamke mwenye tabia hizi za Hovyo aliyeolewa na Mwanaume Serious.

Wanaume sio wajinga kama wanavyoonekana usoni. Mpaka akupe Pete yake lazima awe na uhakika Level ya Ujinga kwenye akili yako ni Ziro maana anaoa KIONGOZI WA FAMILIA na sio Muuza mwili.

SHKAMOONI WOTE MNAO-BOOST NYONYO NA KUBANA KALIO, Kumegwa na kuachwa kwako ni GUARANTEE... Hatuoi Ujinga!

Samahani wewe ni ke au me?
 
Bahati mbaya au nzur wewe bwana Huijui ndoa unajilopokea tu kwa Kudhihaki upande wa wanawake ndoa ni zaidi ya mavazi/kujisitiri kwa mtu! Hakuna aliyezaliwa yuko timamu wengi hujifunza kutokana na mahitaji na mienendo ya watu wetu wa karibu na tunaowapenda, binafsi nililelewa kwa Uhuru wa kuvaa ila nilipompata mwenza wangu niligundua kuna vitu hapend nivae na alikuwa muwazi wa kunionyesha kwa vitendo, anakupeleka dukan kila ukichagua vazi lililokinyume na yeye anakataa analiponda kuwa hupendez, kwa kuwa mwanamke anataka kusifiwa na mumewe bila shaka siku hadi siku atakua anavaa vile ambavyo mpenziwe husema amependeza !! La muhimu usimuoe mwanamke mwenye tabia za hovyo japo anajisitiri mpaka ukucha! Usioe mwanamke mbishii,asiye mtii,mwenye kiburi visasi na chuki! Eti kisa ni mzuri au anavaa mavazi uliyoyaandika hapo
Ndoa ni zaidi ya unavyoona wewe, ukimpenda mtu mlete karibu chukua nafasi ya kum shape aendane na matakwa yako, mke au mume mzuri (mwema)hutengenezwa na sio hushushwa vile alivyo
Kama haukuamua kubadilika basi hata ashushwe malaika gabrieli bado tu utakengeuka, Wanawake wajinga hatuwataki sisi
 
mnaoa sana tu ndo maana huo ujinga hauishi! bidhaa isiyo na soko hutiweka sokoni ila kwa hili wanaoa tena mno! ni kama madawa ya kulevya yanatumika ndo maana hayaishi sokoni
Bidhaa zinazobakia sokoni kwa muda mrefu bila kununulia ujue ni mbovuuuu, Bidhaa nzima huzikuti zikidhalilika,
Umeskia???
 
Watanyooka tu.
Na tutawamega sawasawa na mavirusi yani ni full mafujo tu.
 
Back
Top Bottom