Wanaume hatufaidi ndoa, tunatumika tu kama tingatinga

Kwa mazuri yote anae kufanyia huwezi kumsamahe huyu mwana ume unajua, sisi wanaume tunasamehe sanaa hatujui kueleza makosa ya wake zetu tunameza tu, ila wanawake wanavituko nyumbani sema tuna waacha tu
Tuna tofauti mzee baba, wanawake tunaongozwa na hisia ndo maana tuna uwezo wa kukumbuka vitu vya kijinga jingaaa ambavyo mwanaume huwezi hata kuviwaza.....

Halafu why utafute msamaha ule muda haujiwezi lakini

All in all kusamehe ni jambo jema na la heri
 
Mkuu naona umekubali defeat, but still you can do some thing to avoid hiyo stuation isikukute kuomba mungu ni costant kwa kila wakati ila jitahidi manyanyaso yawanawake asikukute uzeeni ni very hurting scnario.
 
Unanipa picha halisi ya wanawake tunao oa, loh sometime natamani nisinge oa na kuanzisha familia kwasbb nimeona wanaume wana nyanyaswa na wake zao wa ndoa wa mda mrefu, hivi karibuni kuna moja kauza property yake moja 120m akampa mkewe na watoto wake watono, kwamba wasijuwane tena maishani mwao, lakini hao watu walikua wameka kwenye ndoa for 38yrs, kama mke na mme ilizidi mwanaumme akachukua maamuzi hayo kunusuru maisha yake.
 
Hiyo sio picha halisi ya wanawake bali ya maisha yetu sote 😀
 
Umeongea point. Kuzaa mapema watu wanadhani ni njia bora sana kumbe mbeleni ni msongo tu.miaka 60, watoto wanajitegemea. Hamna cha ziada kati ya mume na mke na ukiangalia mmeshachokana kiaina
 
Hapana wanaume to kizeeka tunakua lovly people katika familia zetu na tuna sahao mabaya talio pita hatuna vinyongo kama wanawake
Hapo sasa unakuta ndo mwanamke yupo "we enzi nakupendaaa huna time, sahivi huna ishu ndo unataka kuoneshwa mapenzi" 🤣🤣🤣🤣

Mfano mwingine nikupe, nna shemeji angu yeye kesi yake always ni "nanyimwa unyumba" yeyote anaekutana nae yani hata wewe ukikutana nae leo mkakaa dakika mbili atakuambia tu "nanyimwa unyumba" 🤣
Kuna siku nkamuuliza sista kwanini haumpi sasa, akasema "nlikua nampa daily, kuna siku akafoka eti we kila siku tu unataka muda mwingine mi sina hisia" akasema hicho kitu kiliniuma mnoooo 😹 sasa sahivi anapimiwa analialia.

Huyu ukikutana nae moja kwa moja lawama lazma umtupie sista kumbe shida aliitengeneza yeye
 
Duh mzee aliona Hawa wanaelekea kuniua.
 
﴿وَاعْلَمُوا أَنَّمَا أَمْوَالُكُمْ وَأَوْلَادُكُمْ فِتْنَةٌ وَأَنَّ اللَّهَ عِندَهُ أَجْرٌ عَظِيمٌ﴾
[ الأنفال: 28]

Na jueni ya kwamba mali zenu na wana wenu ni Fitna (mtihani), na kwamba kwa Mwenyezi Mungu upo ujira mkubwa.
Surah Al-Anfal.
-----------------------

Wanaume tuishi humo....ata hao watoto wakizeeka watatendewa hvyohvyo,karma ipo
 
Sasa si atafute nyumba ndogo au awe anunua malay huyo shem wako mjinga sana chance kapewa ya kuchakata mbususu ataki kutumia.
 
Dah Maneno kuntu.
 
Ule ukaribu walio nao na mama unajengwa hautokei tu....

Mama ndo anatumia muda mwingi kukaa na watoto, wanakua na ukaribu.

Sasa kina baba tunaona kuogopwa ndo sifa, humfuatilii mtoto, huna hata muda wa kumsemesha, hata mtoto akijaribu kukuambia mambo yake labda ya shule, michezo, unapuuza.

Mwisho wa siku mtoto hana chochote cha kumfanya akukumbuke.

Tengeneza ukaribu na watoto, kuitwa baba haitoshi, onesha juhudi.
 
Mi naon
Mi naona Bora ufe ukishatoboa 65 maana hamna umuimu MTU unaanza kuumwa magonjwa yasiyotibika unakufa kikatili kwa kukatwa viungo hamna maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…