miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
- Thread starter
-
- #81
Ukiona manyoya....hapo kuna kila dalili ya mchepuko, ila kuchapiwa ni siri ya ndani!...kazi kwako kusuka au kunyoa.nngekuwa mimi ningeshanyoa mapemaaaa
nakuja ila unajua mimi nipo wapi? any way unalosema ni sahihi ila kasogea karibu ndo kanipiga kibuti
cku m2 akiniambia cko hot! aisee ntalia
Usihofu, mapenzi ya siku hizi yanachanganya. usikubali maisha yakunyanganye alafu na mapenzi nayo yakunchanganye. Utakufa umri bado. Kwani uko wapi.
muombe mungu akuongoze
oooh kumbe ni mngoni...
hao bn dharau na kejeli ndo penyewe.pole
usikimbilie kwenye mahusiano mengine haraka utakutana na mengine zaidi na kuhisi mwaka ni wako..
Pia jitahid kuwa wa garama kidogo
habari zenu wanajf
.....
kuna jambo linanitatiza sana limenikuta mara kadhaa na hata baadhi ya
rafiki zangu. nimejikuta na maswali mengi kutokana na hilo jambo:
- mnaposema unataka niwe hot maana yake nini? au unataka niweje?
- mwanaume upo mbali na mimi may be mkoa mwingine alafu unaniambia
sihangaiki na wewe.. wakati muda wote najitahidi kupiga simu kuchati ?
kwa hapa huwa mnataka tufanye nini?
- ulikuwa mbali penzi lililegalega umekuja karibu unaamua kuniacha kuna
kuwa kuna nini hapo jamani?
- unapopigiwa simu upokei alafu baada ya mda unakuja kupokea au unapiga
ujaulizwa unaanza kunifokea na kunigombeza huwa hapo unaficha nini ?
wanawake mnakaribishwa ila nilitaka wanaume ndo wanijibu ...jamani
- pamoja na kuniambia kuwa naudhaifu huo nakuomba msamaha na kutaka
kurudiana na wewe bado unakataa tena kwa nguvu zote. najiuliza ni kwamba
katika mazuri yote nayo jitahidi kufanya uoni unaona, visababu vidogo?
napata wakati mgumu sana hata kufikiri kuanza upya katika mahusino
mengine nahisi ni yale yale tu..... wapenzi wangu nipeni maujanja
nifanyaje mimi.... ila theory practical nitafanya mwenyewe....
naombeni msaada wenu please..
asante mbarikiwe
nimeshanyolewa ila nilikuwa nataka kusuka tena hataki
asante mkuu kwa ushauri
hayo yote yanafanywa lakini bado naonekana sipo hot..
nimeshanyolewa ila nilikuwa nataka kusuka tena hataki
I hope for the next relationship. I wll be carefull
Badili msusi huyo hakufai tena......
Tip yangu hii: for the next relationship chagua anayekupenda sana wakati wewe unamuona wa kawaida tu hata humpaparikii, over time utaniambia mwenyewe utakavyo-enjoy upendo wake
asante mkuu initafanya hivyo mkuuwakati mwingine ni ngumu kumwambia mtu kuwa sikupendi tena, tunasemaga kwa matendo tu sometimes.
Kubali tu matokeo then tulia ujipange upya kuanza mahusiano mapya, kuacha na kuachwa mbona vitu vya kawaida tu ktk maisha ya mapenzi, usijione huna bahati wala thamani
It seems lyk ana kamchepuko kanamchengua na kamemshika masikio ndio maana hoja na sababu hazimuishi,i think its a right time to think by ur brain insteed of heart anymore...Follow ur heart but take ur brain with u
kama umechoka si unarenew tena jamaniMwanaume akimchoka mtu vituko havita isha Ndugu...
Usishangae Mwanaume akakuuliza umpe sababu atakayoitumia kumuacha mpenzi wake. Hilo lisikushangaze kabsaaaa