miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
Habari zenu wanaJF
Kuna jambo linanitatiza sana limenikuta mara kadhaa na hata baadhi ya rafiki zangu. Nimejikuta na maswali mengi kutokana na hilo jambo:
Naombeni msaada wenu please.
Asante mbarikiwe
Kuna jambo linanitatiza sana limenikuta mara kadhaa na hata baadhi ya rafiki zangu. Nimejikuta na maswali mengi kutokana na hilo jambo:
- Mnaposema unataka niwe hot maana yake nini? au unataka niweje?
- Mwanaume upo mbali na mimi may be mkoa mwingine alafu unaniambia sihangaiki na wewe. Wakati muda wote najitahidi kupiga simu kuchati ? kwa hapa huwa mnataka tufanye nini?
- Ulikuwa mbali penzi lililegalega umekuja karibu unaamua kuniacha kuna kuwa kuna nini hapo jamani?
- Unapopigiwa simu upokei alafu baada ya mda unakuja kupokea au unapiga ujaulizwa unaanza kunifokea na kunigombeza huwa hapo unaficha nini ?
- Pamoja na kuniambia kuwa naudhaifu huo nakuomba msamaha na kutaka kurudiana na wewe bado unakataa tena kwa nguvu zote. najiuliza ni kwamba katika mazuri yote nayo jitahidi kufanya uoni unaona, visababu vidogo?
Naombeni msaada wenu please.
Asante mbarikiwe