hahahaa kumbe kweli hutegeki!!! sosoliso aliniambia ukweli aisee!
haya banaa nakupa big up!
Ha ha haaaaa! Sijawahi kuamini katika online dating. Kama mtaani tu kweupeee mchana jua linamulika mtu unaangukia pua itakuwa online! Duh! Nawatakia vijana wa dot com kila la kheri. Btw, rafiki mbona siku hizi umeamua kujificha kwenye hiyo avatar ya gizani? Hebu washa taa shostito.mtu anasema nina miaka 30 ...loh anakuja mtu kama mzee mandela bwana ...kashikwa huku na huko..loh sitarudia tena
Kwani wewe ulivyokuja kutafuta wa mtandaoni hukuwa na macho ya kumtafuta mwenye sifa uzitakazo? We unajidai kuweka vigezo wakati we mwenyewe hukidhi vigezo. Umegaragazwa huko weee sasa imechoka ndo unakimbilia mtandaoni.
Ovyooooooo
Best mie nimemuelewa na nimecheka saaaaaaaaaaaaaaana! Nitacheka kila nitakavyoukumbuka huu uzi. Lol!
kama unatafuta mtu online nawe utakuwa na matatizo kwa vp umeshindwa mpata mtu ktk hali ya kawaida?
wewe umetoa vigezo unavyozingatia
vya kwako uliviweka wazi?
hahahahahahaha....daaaaaahhh kumbe PM zina mambo eeeehhhh...!!!!!Ni mambo ya ajabu na kusikitisha sana eti inatokea msichana\mwanamke unataka mwanaume mwenye sifa mfano mrefu mweusi asiwe mnene sana ,BASI wanatokea watu wanaPm nawe unachagua wa kwenda kuonana nae ukizingatia sifa zile unzozitaka tayari jamaa kaelewa na kabla anajisifu sana.
Siku inafika mtoto wa kike unajua leo naenda kukutana na yule mtu wa ndoto yako!!Lahaula lakwata!!!!
Unakutana na mtu tukisema wale mbilikimo wa CONGO DRC tuakuwa hatujakosea jamani huyu mtu anakuwa na
maana gani?jamani mbona kuna watu wapo tu wapenda vishotiiiii?mbona unalazimisha wewe kaka basi ungevaa hata magongo ya PIMBI tujue moja,O vyoooooooooooooooooooooo sana.
Ha ha haaa! Tatizo bibie hakuweka kipimo cha urefu yeye kataka tu njemba ndefu bila kujua kuwa hata rula ya inchi 12 ni ndefu pia ikilingwanishwa na ile ya inchi 6. Lol!Chezeya JF weye!!! labda njemba kwa uelewa wake naye ni "MUREFU"
Mrefu, mweusi amepinda kuelekea kushoto. hahahahahaUlivyosema mrefu mweusi mwenzako alikuelewa vingine usimlaumu ungempa nafasi ujue urefu wake...
Mrefu, mweusi amepinda kuelekea kushoto. hahahahaha
Mzima lakini? (LQTM)LOL...hiyo sijasema umeniwekea maneno extra mdomoni.
ha ha ha umekutana na ndizi sukari.....
sipati picha aibu ulioipata kama ulienda na shostito akamuone shemeji ake!!!!!!
Hahahaahahahahaaha!!!! inaonyesha yeye mrefu,kaenda kukutana na kituko balaaaa!!! hana hamu alipo, hayo ndiyo mambo ya ONLINE DATING vumilia tu mleta mada. ila umenichekesha sana.
Mzima lakini? (LQTM)