Ni mambo ya ajabu na kusikitisha sana eti inatokea msichana\mwanamke unataka mwanaume mwenye sifa mfano mrefu mweusi asiwe mnene sana ,BASI wanatokea watu wanaPm nawe unachagua wa kwenda kuonana nae ukizingatia sifa zile unzozitaka tayari jamaa kaelewa na kabla anajisifu sana.
Siku inafika mtoto wa kike unajua leo naenda kukutana na yule mtu wa ndoto yako!!Lahaula lakwata!!!!
Unakutana na mtu tukisema wale mbilikimo wa CONGO DRC tuakuwa hatujakosea jamani huyu mtu anakuwa na
maana gani?jamani mbona kuna watu wapo tu wapenda vishotiiiii?mbona unalazimisha wewe kaka basi ungevaa hata magongo ya PIMBI tujue moja,O vyoooooooooooooooooooooo sana.
acha dhambi wewe dada lol
mtu anasema nina miaka 30 ...loh anakuja mtu kama mzee mandela bwana ...kashikwa huku na huko..loh sitarudia tenaBest mie nimemuelewa na nimecheka saaaaaaaaaaaaaaana! Nitacheka kila nitakavyoukumbuka huu uzi. Lol!
Ni mambo ya ajabu na kusikitisha sana eti inatokea msichana\mwanamke unataka mwanaume mwenye sifa mfano mrefu mweusi asiwe mnene sana ,BASI wanatokea watu wanaPm nawe unachagua wa kwenda kuonana nae ukizingatia sifa zile unzozitaka tayari jamaa kaelewa na kabla anajisifu sana.
Siku inafika mtoto wa kike unajua leo naenda kukutana na yule mtu wa ndoto yako!!Lahaula lakwata!!!!
Unakutana na mtu tukisema wale mbilikimo wa CONGO DRC tuakuwa hatujakosea jamani huyu mtu anakuwa na
maana gani?jamani mbona kuna watu wapo tu wapenda vishotiiiii?mbona unalazimisha wewe kaka basi ungevaa hata magongo ya PIMBI tujue moja,O vyoooooooooooooooooooooo sana.
Hiyo si tabia yako? Mbona unataka kujidai hautumiagi hiyo style?
Hahaahaaaaaaa!!! umemkaza mtoto wa watu halafu anakuja kutulilia lilia ovyo.
afu unajua mie nakufannanisha na huyo mtu wa kwenye avatar yako.....sasa usijeniletea kitambi afu una upara!!!!! hahahahahaaaaaaaaaaaaa
Umeanza lini kuchagua appearance za mashemeji zako? Au ndo tuseme unaamza kunilove kidogo kidogo?
aaaa shemeeeji.............si unajua tena shemeji kula kaka hayupo!!! nataka tu nikutege.........!
Mie ambavyo vimeshapigwa nembo, nakula nilivyovipiga nembo mimi mwenyewe.
Kutegana kwa namna hii sitaki kuona tena.