Mnyabwilo
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 720
- 256
Nyie wanaume nyie lol,
Sasa kama uliniona lofa kipindi nakutongoza umeona nipo kitengo halafu unakuja kuanza mazoea mwenyewe unafikiri kipi kitakachofata
Nyie wanaume nyie lol,
mkuu buana [emoji4] [emoji4]Unajua kuna mambo mengine hayahitaji uchawi wala elimu ya juu kuyafahamu
Pesa mwanaharamu ati
Loooooong time no c yuumkuu buana [emoji4] [emoji4]
mkuu majukumu tu yanabana ila tuko pamojaLoooooong time no c yuu
Bado pesa si kila kitu...
Na hizo pesa za kumpa ni tsh ngapi? Maana kama pesa ni kigezo then hata kama unazo wapo wengine nao wanazo kama wewe au zaidi yako na wanaweza kumtaka piaUnajua kuna mambo mengine hayahitaji uchawi wala elimu ya juu kuyafahamu
Pesa mwanaharamu ati
Mambo mengine P.M tu ... usimwage mchele kwenye kuku wengijaman utakuwa baba huruma sasa unaishi wapi vile??
Uchunguzi uliofanywa hivi karibuni na jopo la wataalamu wa ladha na utamu wa tunda la kati.
Umebainisha kuwa hakuna shoti kati katika kumbakisha mywife wako zaidi ya kujituma kwenye kazi ili ujiongezee kipato na uweze kumtunza vyema mywife wako kwa kumtimizia mahitaji yake yote( yakiwemo mambo yetu yaleeee).
Nawasilisha.
Pesa sio kila kitu,PESA NDIO JIBU. tafuta hela tu wengine wote utazidishiwa.
Rudia tena kusoma nilichokiandika kama hujaelewa nikuhadithie kwa kina....Pesa sio kila kitu,
Vitu kama kuila papuchi sawasawa, upendo, amani, kuhesgimiana, kusameheana na vingine kama hivyo ni muhimu sana katika maisha ya mapenzi. Kuna watu walikabidhi hadi kadi za bank na bado wametendwa.