Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,805
- 43,230
Uchunguzi uliofanywa hivi karibuni na jopo la wataalamu wa ladha na utamu wa tunda la kati.
Umebainisha kuwa hakuna shoti kati katika kumbakisha mywife wako zaidi ya kujituma kwenye kazi ili ujiongezee kipato na uweze kumtunza vyema mywife wako kwa kumtimizia mahitaji yake yote( yakiwemo mambo yetu yaleeee).
Nawasilisha.
Hivyo ulivyovisema ongezea na mali kauli yaani nyama ya ulimi yaani ujue kuongea kwa kubembeleza na kwa mahaba na mkeo, ujue kutaniana na mkeo ili wakati wa kuongea mambo ya maana au yanayohitaji umakini anakuwa makini kweli.
Nyama ya ulimi tamu sanaa hasa kwenye simu...... ile sauti ilee.... ukicheka sasa........... halafu itumie hiyo kubembelezea......... utafika hadi ikulu ya lyabambashi............😛😉🙂
Mie kashajua napenda nyama ya ulimi basi nashibajeee