mangosongoo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2016
- 257
- 456
Ukishajua mwanaume wako anacheat ni tatizo, unapoteza hata laza naye...!!Wanaume cheatini kisirisiri ili wake zenu wasijue maana inaumiza sana
Nadhani umemuelewa vizuri mtoa madaNa wanawake wanaochiti nao vipi?
naomba ajibu hili kwanza, ndo nitachangiaNa wanawake wanaochiti nao vipi?
HUJAJIBU SWALI.....NYIE MNAVYOCHITI VIP?...AU HAMJUI KUWA NA WANAUME HUPOTEZA LADHA NA KUISHIA KUPUNGUKIWA NGUVU ZA KIUME?Nadhani umemuelewa vizuri mtoa mada
Nadhani umemuelewa vizuri mtoa mada
Sikuwa najibu swali bali nilikuwa na maana yangu kumquote nyani baada ya hapo ndio ningeanza kuchangiaHUJAJIBU SWALI.....NYIE MNAVYOCHITI VIP?...AU HAMJUI KUWA NA WANAUME HUPOTEZA LADHA NA KUISHIA KUPUNGUKIWA NGUVU ZA KIUME?
Mie nimeona karuhusu mcheat ila msijulikane ila tafadhali dont do tha coz utashinjwa na kanda ya kaskazini siku si zako....Anasema wanaume wachiti kisirisiri ili wake wasijue, maana wakijua inauma sana.
Hapo ni anakubali matokeo na kuhalalisha uzinifu.
Sasa, hivi wanaochiti huwa ni wanaume tu?
Wanawake wao kila siku huchitiwa tu?
Mwanaume/mwanamke anaemuonyesha mwenzake dhahiri juu ya uchepukaji wake anaroho ngumu na ya kinyama....
Fanya madudu yako huko uchochoroni nisijue...
Mie nimeona karuhusu mcheat ila msijulikane ila tafadhali dont do tha coz utashinjwa na kanda ya kaskazini siku si zako....
Ni nadra sana mwanamke achit kama kampenda mwanaume na anapata kila anachohitaji kutoka kwa mwanaume
Wengi wanaochit wanakuwa either huyo mwanaume hajapendwa au hatimizi majukumu yake
Unajua kabisa mie la 7d sasa kizungu chako nakielewaje?Haiwezekani mwanamke apate kila anachohitaji kutoka kwa mwanaume kwa sababu mahitaji ya binadamu yeyote ni infinite!
.......shemeji buana! .......Infinite maana yeke ni bila mwisho!.....maana yake mahitaji ya binadamu hayana mwisho/ukomo/,hayatoshelezi!!!Unajua kabisa mie la 7d sasa kizungu chako nakielewaje?
Teh hapo sasa, sijui na madhara ya kucheat huwa yanajificha pia smh.Ungesema wanaume waache ku cheat. Maana hiyo tabia si nzuri na ni dhambi. Either uchiti kisiri siri ama wazi... kote si kuzuri.. kunahatarisha ndoa..
Kwa mwanaume mwenye kujielewa na mwenye busara.. hii michezo huepukwa.
Kisiri siri.....