Wanaume cheatini kisirisiri ili wake zenu wasijue, inaumiza sana

Sasa mpaka utoke huko kijijini kwenu mpaka ufike dar naona mume atakuwa kaisharudi
!..........Walahi nilivyo na hamu ya kuzama chumvini kwa shem inabidi nije kwa ungo kwa sababu hamna namna!!.....Shem huku usafiri wetu mkuu ni ungo!
 
Ni bora mkatoa ruhusa ya kuwaoa kabisa michepuko...kwa namna moja tutabana natumizi...Mchepuko unagharama kubwa sana....huu ni mtazamo wangu...
 
kwani mwanaume akigegeda mtu mwingine unapungukiwa nini? unajipa mateso ya moyo bure uje ufe mapema bure
 
Back
Top Bottom