Namge
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 1,380
- 1,845
Acha tu kaka.. Nyani haoni..Mbona wanawake wanagawa hadi kwa wauza magenge sokoni.
Acha tu kaka.. Nyani haoni..Mbona wanawake wanagawa hadi kwa wauza magenge sokoni.
Zaidi sana nyie bwana... Sijui mnakuaga na mapepo gani tuhehehe ila nyie ndio mnaanzaga sisi kazi yetu ni kumaliza
Mchiti kisiri siri msiwaumize wapenzi wenu maana sie tunaumiaga roho sana
Kisiri siri.....
hivi kucheat ni kufanyeje? unataka akugegede wewe tu ili iweje?
sana yaani kwani akigegeda mwingine anapungukiwa nini?Hahahaha... mleta mada atakua ni selfish sana
sana yaani kwani akigegeda mwingine anapungukiwa nini?
Kwani wauza magenge sokoni sio wanaume?Mbona wanawake wanagawa hadi kwa wauza magenge sokoni.
That's my girl. Know your self worth period.My EGO is too big, I am TOO PROUD, TOO VALUABLE, TOO PRECIOUS, TOO IMPORTANT to even think of something like this.
if there's a lesson I've learnt best in life ni SELF WORTH. Na hili uzao wangu lazima ulishike hasaa, na waseme we learnt from our mama.
NASUBIRI KWA HAMU hiyo siku nitakayogundua kumefanyika hiyo FIGISU.
If you put a small value on yourself, rest assured the world will not raise your price.
It's about your attitude and priorities,mfano mimi nahitaji tu kusikilizwa na mechi basiHaiwezekani mwanamke apate kila anachohitaji kutoka kwa mwanaume kwa sababu mahitaji ya binadamu yeyote yule ni infinite!
Muulize tena kama wanaume wanaochit wanachit na wanaume wenzao?Anasema wanaume wachiti kisirisiri ili wake wasijue, maana wakijua inauma sana.
Hapo ni anakubali matokeo na kuhalalisha uzinifu.
Sasa, hivi wanaochiti huwa ni wanaume tu?
Wanawake wao kila siku huchitiwa tu?
Please tuambie dalili za mtu anae cheat ili tujaribu kuzifisha ili zisionekane kwenu...Madhara ya kucheat.. huwa hayajifichi.. kwa vyovyote vile lazima tu ugundulike..
Siku hizi suala la mechi limekuwa mtihani mkubwa kwa wanaume wengi kutokana na wanaume wengi hasa wanaume wa Dar kuishi kwa chips yai,sasa suala la mechi likifail unafanyaje?It's about your attitude and priorities,mfano mimi nahitaji tu kusikilizwa na mechi basi
Mwanaume/mwanamke anaemuonyesha mwenzake dhahiri juu ya uchepukaji wake anaroho ngumu na ya kinyama....
Fanya madudu yako huko uchochoroni nisijue...
Mzee wa ki English jiandae lazima niku bid ktk hyo tendaMpendwa kwakua ni "kisiri siri" haitangazwi
So jitahidi kuja mara kwa mara kuulizia tenda
Achepuke tu ila nisijue wala asinionyeshe dalili yoyote....Kuchepuka ni kuchepuka tu! Hata ufanye kwa siri! Nafsi haikusuti! Mimi nadhani akitaka kunicheat ni heri aniache tu acheze salama! Kuliko kujiibaiba!
Mpendwa kwakua ni "kisiri siri" haitangazwi
So jitahidi kuja mara kwa mara kuulizia tenda