Wanaume cheatini kisirisiri ili wake zenu wasijue, inaumiza sana

HUJAJIBU SWALI.....NYIE MNAVYOCHITI VIP?...AU HAMJUI KUWA NA WANAUME HUPOTEZA LADHA NA KUISHIA KUPUNGUKIWA NGUVU ZA KIUME?
Sikuwa najibu swali bali nilikuwa na maana yangu kumquote nyani baada ya hapo ndio ningeanza kuchangia
 
Anasema wanaume wachiti kisirisiri ili wake wasijue, maana wakijua inauma sana.

Hapo ni anakubali matokeo na kuhalalisha uzinifu.

Sasa, hivi wanaochiti huwa ni wanaume tu?

Wanawake wao kila siku huchitiwa tu?
Mie nimeona karuhusu mcheat ila msijulikane ila tafadhali dont do tha coz utashinjwa na kanda ya kaskazini siku si zako....

Ni nadra sana mwanamke achit kama kampenda mwanaume na anapata kila anachohitaji kutoka kwa mwanaume

Wengi wanaochit wanakuwa either huyo mwanaume hajapendwa au hatimizi majukumu yake
 
Haiwezekani mwanamke apate kila anachohitaji kutoka kwa mwanaume kwa sababu mahitaji ya binadamu yeyote yule ni infinite!
 
Ungesema wanaume waache ku cheat. Maana hiyo tabia si nzuri na ni dhambi. Either uchiti kisiri siri ama wazi... kote si kuzuri.. kunahatarisha ndoa..
Kwa mwanaume mwenye kujielewa na mwenye busara.. hii michezo huepukwa.
 
Teh hapo sasa, sijui na madhara ya kucheat huwa yanajificha pia smh.
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom