"uzuri wa nyumba choo"
namba ya bajaji inaonekana vizuri kwa nyuma.....
mmmmh ila huku nyuma kuna nini kwani?
hili nalo neno!!!Anamweka mwenye tabia njema ndan afu anahangaika na makalio nje
Wenyewe wanasema fahari ya macho...
hahh yaani umenifanya nicheke kwa nguvu mbele za watu bila ya kutarajia,eti its just the way we are programmed tumekuwa maroboti sisi??Its just the way their systems are programmed.
It doesn't bother me at all.
Biashara ya kondoo mkia mama