na thamani ya kondoo ni mkia wake
jicho la mvulana liko fasta kuliko google pale linaposach t-ako mtikisiko...
hahh yaani umenifanya nicheke kwa nguvu mbele za watu bila ya kutarajia,eti its just the way we are programmed tumekuwa maroboti sisi??
mi huwa natumia 5G kabisa.. t-ako mtepeto huwa sizipendi sana sana! bora zile ngumu kiasi na mbonyeo! lols.hahhah!!! haswa jicho la bazazi kama wewe.
Na face hata beberu anayo
Acha tu mamy tunatungiwa majina kila kukicha......
Lisemwalo lipo....Na wewe flat screen? Hii mara ya pili naona comment yako inasema hvyo
Makalio ni kidigital zaidi tabia kutoka chalinze na kuelekea
Lisemwalo lipo....
siamini, mimi tomaso
Ubaya sasa...mimi siyo Yesu.....