![]()
Mbona mnatuchanganya?
Eti mnasema uzuri wa mwanamke ni tabia!
Kama uzuri wa mwanamke ni tabia, mbona tukipita mbele yenu mnaangalia makalio yetu?
Au tabia za wanawake ziko makalioni?
Ukweli ni kwamba wanaume wengi huona makalio ya wanawake ni muhimu kuliko tabia
Uongo?
Nasema na nyie #TeamBazazi
Kaizer, utafiti, Mentor, Asprin, KakaKiiza, Jiwe Linaloishi, Nyani Ngabu, Mndengereko, Elli, ayanda, mwekundu
Duuuhh na wewe ushafika huku!!!!
Kuna plate namba!!
uzuri wa nyumba ni choo
mmmmh ila huku nyuma kuna nini kwani?
lol! Kazi ipo..!uzuri wa nyumba ni choo
mmmmh ila huku nyuma kuna nini kwani?
teh teh teeh meaning what?
Kumbe eh?
Tukutane December.
i like this
We sio chalnze inaanzia ubena