Wanaume bwana!

Wanaume bwana!

wapenda TiGo,....wanaume wanalinganisha last event na wanachokiona kwa muda huo ka kinalipa zaidi wanakiendea
 
Waingereza wana usemi ---- "good things are for free" ndio maana hewa muhimu kuliko bia lakini haiuzwi. Tabia bado ni muhimu ingawaje tunapapatikia makalio. Unaweza ukayapata makalio hayo ukayakimbia kwasababu ya tabia. Yaani tabia ikiwa mbaya hata makalio hayavutii tena
10.jpg


Mbona mnatuchanganya?

Eti mnasema uzuri wa mwanamke ni tabia!

Kama uzuri wa mwanamke ni tabia, mbona tukipita mbele yenu mnaangalia makalio yetu?
Au tabia za wanawake ziko makalioni?

Ukweli ni kwamba wanaume wengi huona makalio ya wanawake ni muhimu kuliko tabia

Uongo?

Nasema na nyie #TeamBazazi
Kaizer, utafiti, Mentor, Asprin, KakaKiiza, Jiwe Linaloishi, Nyani Ngabu, Mndengereko, Elli, ayanda, mwekundu
 
Last edited by a moderator:
haohao wanaoangalia makalio yenu co wote bhana wengne zetu tabia ikifuatiwa na rangi nzuri!
 
i thought you were somewhere else!! ghafla nkakwona uko huku!! but we are not programmed bana(as you said) ehheheeeee "they call it nature"...

Its that nature am referring to here hun.
 
nimwiteeee..??? Tyta njoo waonyeshe fahari ya macho na picha......
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom