Wanaume bwana.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanaume bwana..

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by jamii01, Jan 30, 2011.

 1. jamii01

  jamii01 JF-Expert Member

  #1
  Jan 30, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,836
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Inakuwaje mwanaume mwenzio anakupigia simu anakwambia mambo vipi mpenzi?au shost au mtu wangu,au utasikia anakwmbia nimekumiss.....bila kujarisha huko katika mazingira gani hata usiku au huko na mama watoto?baada ya hapo utasikia see you later and take care..
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Jan 30, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  that is normalll
   
 3. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #3
  Jan 30, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  :A S 20::A S 20::laugh::laugh::roll::roll::coffee::coffee:

  Udhungu mwingi au ana jua anakotaka kwenda na wewe,he might be playing with your feelings......inakera in short.:twitch:
   
 4. jamii01

  jamii01 JF-Expert Member

  #4
  Jan 30, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,836
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Boss inaonyesha na wewe ni mmoja wa hao..:popcorn:
   
 5. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #5
  Jan 30, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  du soory typing error

  nilitaka andika thats not normallll
   
 6. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #6
  Jan 30, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  hiyo sio normall.
  kuna hitilafu.....
   
 7. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #7
  Jan 30, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Shauri lako..labda anataka zaidi ya ushkaji!
   
 8. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #8
  Jan 30, 2011
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,523
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Huko unamaanisho uko...? Pole lkn ubwabwa hauko mbali nawe
   
 9. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #9
  Jan 30, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Wanaume siku hizi wanaiga mambo yetu.
  Kuna siku nilimuona mwanaume amevaa skin jeans, lol!
  Nilichoka.
   
 10. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #10
  Jan 30, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Ha ha haaaa.... hiyo itakuwa ni new sex inayofanana na male!!!
   
 11. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #11
  Jan 30, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  we unachoka na skin jeans..
  Huwaoni wanaopaka poda na hereni masikio yote mawili?
  Na kujichubua juu?
  Tazama kina kanumba ray na wasanii wengine....
   
 12. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #12
  Jan 30, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  hivi unazijua hizi skin jeans tunazovaaga wadada?
  Hayo mapoda cha mtoto.
  Kha!
   
 13. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #13
  Jan 30, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Whaaaaaaaaaaaat!! vipi mpenzi is normal? basi normal itakuwa na maana mpya!:sick::sick:
   
 14. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #14
  Jan 30, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  ina maana hukuona niliposema typing error au unataka ligi?
  Huelewi maana ya typing error?
   
 15. Tangawizi

  Tangawizi JF-Expert Member

  #15
  Jan 30, 2011
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 2,835
  Likes Received: 927
  Trophy Points: 280
  Haiwezekani mtu akaanza tu kukwambia I miss you bila kuzoeana au kuwa na namna fulani ya kuwasiliana naye...sema kina dada wengi mnapenda kuoperate according to weather....ukiwa na mimi unakuwa free kabisa....ukinimabia leo umechoka unalala nikakukuta na jamaa sehemu nyingine unakuwa mtu tofauti. What is the problem? Kama unaliona hilo ni tatizo usitaniane kabisa na wanaume maana wengine tunaoperate free ili mradi hatuvunji sheria
   
 16. k

  kisukari JF-Expert Member

  #16
  Jan 30, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,753
  Likes Received: 1,038
  Trophy Points: 280
  mimi kuna m.me mmoja{jinsia yangu ni ya kike}namuheshimu mno,hunitumia msg na huandika honey mambo,au mpenzi au sweetie.naona kama kinyume ila heshima yangu kwake,kumuuliza huwa nashindwa hujaribu kumjibu ki mkato,sasa sijui ndio mambo ya sasa ila mimi sielewi?
   
 17. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #17
  Jan 30, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,914
  Likes Received: 214
  Trophy Points: 160
  Labda sijaelewa, ina maana anayeambiwa maneno hayo naye ni mwanaume?
   
 18. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #18
  Jan 31, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  heheheheheeheh jamani ....
   
 19. Mamushka

  Mamushka JF-Expert Member

  #19
  Jan 31, 2011
  Joined: Feb 17, 2010
  Messages: 1,609
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Duh tenaa!
   
 20. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #20
  Jan 31, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 253
  Trophy Points: 160
  Dunia imekwisha tumefikia huko tena dahhh pole sana
   
Loading...