PostGE2025 Dkt. Benson Bana: Maridhiano lazima yawe na mpatanishi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,371
Reaction score
18,699
Aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Nigeria Dkt. Benson Alfred Bana amesema ili kupatikana kwa maridhiano ya kweli moja ya mambo yanayopaswa kuzingatiwa ni kuwepo kwa dhamira ya kweli huku mpatanishi akiwa katikati ya pande mbili zilizokosana.

1784186123269.png

Amesema hayo akizungumza kwenye mahojiano na Saut Digital huku akiainisha mambo kadhaa ambayo yanapaswa kuzingatiwa kabla ya maridhiano.

"Maridhiano lazima awepo mtu wa katikati inaweza ikawa kundi la la watu wenye hekima, wenye busara kama ulivyoona kina Malecela wakati ule wa kupigana na ukaburu wa Afrika Kusini walivyochaguliwa watu mashuhuri kuzikutanisha pande zinazohusika ili zifikie makubaliano. Mnataka kuridhiana lakini mnahitaji kama msuluhishi flani hivi.”

Soma: Heche: CHADEMA haitafanya maridhiano na CCM bila mpatanishi wa kimataifa

Balozi Dkt. Bana amekuwa balozi wa Tanzania nchini Nigeria kuanzia mwaka 2019 mpaka 2024 alipostaafu. Kabla ya hapo alikuwa Mhadhiri Mwandamizi wa Sayansi ya Siasa katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM).

Via: Saut Digital
 
Via: Sauti Digital
Sahihi kabisa!Lakini lazima waliopo kizuizini waachiwe huru.
 
Lucas Mwashambwa anataka MamaSamia2025 ndii awe mpatanishi
 
Lecturer huyo Lakini!
Kwamba akiwa lecturer ndio nini au umeanza kumfuatilia wakati huu? Ile Redet ipo wapi iliyokuwa inalipwa mamilioni na Serikali ya Kikwwte na Jiwe kuendesha takwimu za uongo za kisiasa hasa kipindi cha uchaguzi.
 
Mzee Banya au tumuite "mzee Cathedral of a nose" muda siyo mrefu atamfuata Polepole.
 
Back
Top Bottom