Nasian Ressy
Senior Member
- Jul 12, 2026
- 122
- 318
Saiv tena wanawake sio dhaifu wao ndoh wanaowamiliki wanaume kwa kuwahifadhi makao. wanaume wamekuwa bure sana wana penda ulain mara wasuke nywele,watoboe sikio hawana future wapo tuh mwanaume saiv anaish maisha ya laana hajijui hajielew yupo tuh kwa sababu watu wapo tuh