Wanaume badilikeni

Wanaume badilikeni

Shida sio idadi ya magoli shida ni yanapigwa kwa muda gani? maana kuna mtu anaweza piga bao tatu kwa nusu saa ila mwingine akapiga bao moja kwa dakika 40 so uskalili unaweza pigwa mojatu ila la maana.
Mkuu hata moja hilo unakuta linakuwa kwa dakika 3 au 4 tuuu
 
Sijui sisi watanzania nan katuloga yaani Tatzo LA mpenz wako unalifanya Tatzo LA taifa? Think twice wengine wenza wetu wanacheza na fimbo muda wote bila shida
 
Nashauri JF wafungue jukwaa kwa ajili ya post/nyuzi za wanaume wa Dar kama hizi!
 
Habari za jumapili wana MMU,

Hivi nyie wanaume nani kawaroga jamani mbona wenzenu wa zamani hawakuwa hivyo??? Kweli mwanaume unapiga bao moja umechoka mpaka unalala usingizi?? Mnawatesa watoto wenzenu mnawachafua na kibao kimoja mnategemea waende wapi au wapige punyeto??Tatizo mazoezi hamtaki kufanya na chips mayai ndio chakula chenu kikuu hebu badilikeni waridhisheni wapenzi/wake zenu.
Jamani halafu nyie wanaume badilikeni acheni uchafu, unakuta mwanaume hata hajijali chumba chake ukienda ametupa minguo chini soksi chini ya uvungu boxer kila sehemu sio tabia nzuri halafu hapo eti unategemea kupata mwanamke msafi nani atakuvumilia na uchafu wako???
Come n try me!
 
Umetupa jiwe gizan lazima, kuna mtu limempiga
 
Hehehe... Bora uwe na mwanaume anaekupiga bao moja lakini la uhakika mpaka unamuomba mwenyewe akojoe.. Kuliko kukutana na yule ambaye akidumbukiza ukihema kashamwagaa.. He he heee hasira zake unaweza vunja kabati
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom