Wanaume badilikeni

Wanaume badilikeni

Habari za jumapili wana MMU,

Hivi nyie wanaume nani kawaroga jamani mbona wenzenu wa zamani hawakuwa hivyo??? Kweli mwanaume unapiga bao moja umechoka mpaka unalala usingizi?? Mnawatesa watoto wenzenu mnawachafua na kibao kimoja mnategemea waende wapi au wapige punyeto??Tatizo mazoezi hamtaki kufanya na chips mayai ndio chakula chenu kikuu hebu badilikeni waridhisheni wapenzi/wake zenu.
Jamani halafu nyie wanaume badilikeni acheni uchafu, unakuta mwanaume hata hajijali chumba chake ukienda ametupa minguo chini soksi chini ya uvungu boxer kila sehemu sio tabia nzuri halafu hapo eti unategemea kupata mwanamke msafi nani atakuvumilia na uchafu wako???
84f9f6af50e1e5fa0faf8626146f1ee7.jpg
majukum toliyonayo wanaume ni mazto xana tunawaza mbali na sio karbu,tunawaza siku tukiwa hatupo duniani ninyi k mtaishi vp ndio maana tunatumia mda mwing kuwajengea hazna za baadae
 
Pole sana,wenzako huku tunawapiga za kutosha,

Me mwanamke tukianza lazima nimgonge 3 za maana,halafu zinafuata za kiada unexpectedly.
Comrade....
Ebu kamata hiyo fursa hapo...
 
Utakuta huridhishi kitandani, hilo bao moja litakuwa linaendana na wewe..!!

Huo uchafu kwanini usimsaidie kuutoa.!?
Wanaume wengine hawabadiriki unajitahidi kumbadilisha kumfanya msafi lakini bado uchafu upo damuni
 
Wanawake wa zamani mshakauka sa mnataka twende Mara 3 mtuchubue?
Mimi sio wa zamani mkuu bado mbichi kabisa tatizo lenu mnapenda sana chipsi mayai kiasi kwamba hamuwezi kwenda hata vibao wivili tuu
 
Pole sana,wenzako huku tunawapiga za kutosha,

Me mwanamke tukianza lazima nimgonge 3 za maana,halafu zinafuata za kiada unexpectedly.
Dah asante sana mkuu
 
Mimi sio wa zamani mkuu bado mbichi kabisa tatizo lenu mnapenda sana chipsi mayai kiasi kwamba hamuwezi kwenda hata vibao wivili tuu
Nanyi pia wengu wenu huwa mnazingua mtu anaamua kwenda hata bao tatu ili akulizishe lakini ushafika kunako kilele unakuwa hautaki tena kumsindikiza mwenzio ili amalize safari yake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom