Tabia nisizozipenda kwa wanaume

MZURI SANA

JF-Expert Member
Oct 19, 2023
240
546
Jamani naenda moja kwa moja .
Tabia zinazonikera kwa wanaume kiukweli kama mtabadikika basi Dunia itakuwa mahali safi na nitawapenda sana baba zangu nyie na wapenzi niwapendao.

1. Muache uchafu jamani wanaume mjitahidi kufua hata boksa. Why boksa moja iyo iyo like seriously

2. Mjitahidi kuoga.

3. Muwe smart. Mvae vizuri mpendeze, hapa soksi.

4. Smart kwenye kuongea
 
Jamani naenda moja kwa moja .
Tania zinazonikera kwa wanaume kiukweli kama mtabadikika basi Dunia itakuwa mahali safi na nitawapenda sana baba zangu nyie na wapenzi niwapendao.

1.Muache uchafu jamani wanaume mjitahidi kufua hata boksi why boksa moja iyo iyo like seriously

2.Mjitahidi kuoga .

3.Muwe samart.mvae vizuri mpendeze.hapa soksi.

4.Smart kwenye kuongea
Na wewe unaonekana huna soko.

Yaani wanaokutongoza ni mafundi Vyuma, Mafundi Gereji na Machinga.

Sasa usitake kutuchafua sisi watanashati
 
Wengine hata kuoga ni kwa mbinde !

Na akioga ni Kama adhabu hafurahii wala nini.

Dakika 2-3 katoka bafuni

Sasa sijui anakuwa ametoka kuoga au kujimwagia maji?!
 
Malezi na makuzi Ndiyo tatizo linakoanzia.

Halafu ukute wale wamezaliwa na kukulia mashambani huko mmnh usipime!

Hata awe msomi! Ni ajabu kweli .
 
Unapomlea mtoto mfundishe kuwa uchafu ni adui wa afya na ni kero kwa wanaokuzunguuka hasa mwendani wako.
 
Jamani naenda moja kwa moja .
Tania zinazonikera kwa wanaume kiukweli kama mtabadikika basi Dunia itakuwa mahali safi na nitawapenda sana baba zangu nyie na wapenzi niwapendao.

1.Muache uchafu jamani wanaume mjitahidi kufua hata boksi why boksa moja iyo iyo like seriously

2.Mjitahidi kuoga .

3.Muwe samart.mvae vizuri mpendeze.hapa soksi.

4.Smart kwenye kuongea
Nonsense
 
Kwani mbona unatuandama
 
Mimi sipendi mwanamke asiyejua kuandika
 
Back
Top Bottom